Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

hahaha natamani kuona kauli za masalia,,,,,...mchange wap?mtela,shonza na bosi wao zzk....chezea haki wewe
 

Dude, Dogo na nani tena?
 
Last edited by a moderator:
Eti nikweli uzoefu unaonyesha kuwa Wakili Tundu Lisu hashindwi kesi za uchaguzi?

ahahahahahahahhaha, niko kwenye gwanda langu na kapelo nasherehekea
 
X,mass murua kabisa!si mchezo magamba wajiandae
 
Peoples..............................................Power! MUNGU ni wawote, sio wa wanamagamba tu! Kwenye ukweli siku zote uwongo, hila, fitina na majungu kamwe haiwezi kushinda! Pamoja tutalijenga taifa letu!
 
Mungu akiwa upande wako hakuna longolongo. "Glory to God". "God is able"
 
Nguvu ya Mungu imeshinda nguvu ya Ikulu.

Sasa tunaweza kurudi kwenye ule mjadala wetu wa wale jamaa wa PM7. Hivi leo ni zamu ya nani kufunguka wadau??
 
Duh! Utaona ni kwa namna gani watu walikuwa na hamu ya kujua
kinachoendelea kwenye kesi ya Lema. There are currently 2278 users
browsing this thread.
(1040 members and 1238 guests)...
 
:israel::violin::bange:Tulijua ukombozi lazima! Saaaaafi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…