Lema: Arusha hakuna CCM


Ruttashobolwa=Kagenzi=Ruge=Koku=Tiba= Ukoo wa Wapenda Pesa, wote wa kule kule alipoposhitukia mwl Nyerere.
 
Godi CCM ipo kila mahali, kusema haipo unajaribu kupingana na ukweli. Hawa ndio washindani wako, Philimon Mollel, Deo Mtui, Victor Njau, Dk Harlod , Justin Nyari, Mustafa Panju(Bush back) Godi Mwalusamba . Hawa ni kwa uchache.

Kwa nini wagombea wa chama chetu pendwa ccm ni wauza madawa,jambazi,tapeli au fisadi?
 

Ni kweli
 
Jimbo la Arusha Mjini linachukuliwa na mchungaji mwakasege kwa tiketi ya CCM.

Nolikuepo kwenye mkutano wa mchungaji mwakasege jangwani dare es salaam. Nimemsikia akisema yeye hana chama na mimtumishi wa mungu hila haki yake yakupiga kura ipo palepale yeye anafanya kazi ya MUNGU pekee.
 
CCM haipo arusha na kama wapo basi ni viongozi wa chama tu tena na wenyewe huwa wanasema wapo kule kwaajili ya hela ila kura wanampa lema
 
fisi msalani uko wapi?njoo uone kamanda akifanya yake mwezi wa kumi usipoangalia utakufa kwa presha
 



Umenena Kamanda wangu!!!!!
 
Lema anza kuwaaga wana Arusha mapema Mchungaji Mwakasege anakuja kulichukua jimbo la Arusha Mjini

Kwani Mwakasege ni mchungaji? Labda kama anachunga Mbu.nye ya mam'ko! Hivi naye anajua kutoa rushwa? Maana bila rushwa hawezi kupitishwa na maccm!! Na akipitishwa atachuma aibu!
 
Umenena sawa kabisa Kamanda Godbless J Lema. Hata mimi nilijionea nilipokuja huko. Mtashindana CHADEMA wenyewe chamani mwenu

Haya ndo uliyojionea Arusha

 
Ukiwa unatokea Moshi baada ya kupita Bomang'ombe kuna kibao mkono wa Kulia kimeandikwa SASA UNAINGIA CHADEMA! Hata watu wa TANROAD wanakijua na wamekiacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…