Wanamuogopa kamanda eeh?,huwezo huo hawana,. Kwenda ataenda tu
hata wewe unaongea hahahahahaha kwanza nilijua ulisha hama CCM kumbe bado uko CCM.....Tutakutana Arumeru! Tarehe 1/4/2012 msizime simu kama tulivyowakimbiza Igunga...
Ephata Nanyaro upo?????
Just Loading...!
Tutakutana Arumeru! Tarehe 1/4/2012 msizime simu kama tulivyowakimbiza Igunga...
Ephata Nanyaro upo?????
Just Loading...!
Mi nilijua amepigwa stop kwa amri ya mahakama kumbe ni CCM, hii ni sawa na kwenda uwanja wa vita huku ukiwaambia adui kuwa marufuku kuja na silaha kali, ebo! sasa wewe kama unaogopa silaha kali unataka vita ya nini?, si uingie mitini tu uache adui achukue nchi.
Hii inanikumbusha enzi za 'cha ndimu' mtu akija amevaa daluga tunamwambie avue la sivyo hatuchezi nae mpira.
KUNDI LA WAZEE WA MERU WAMEMTAKA BW GODBLESS LEMA KUTOSHIRIKI KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO KUZIBA NAFASI IIYOACHWA WAZI NA MAREHEMU J SUMARI ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO HILO KWA TIKETI YA CCM.
SABABU WANASEMA ALITOA MATAMSHI WAKATI WA KUAGA MWILI WA MAREHEMU KWAMBA "SASA SUMARI AMEKUFA HILI JIMBO LAZIMA LICHUKULIWE NA CHADEMA" KWA HIYO AMEWAVUNJIA HESHIMA'
Yaani wanamtumia mpaka mzee Sarakikya!
wazee wa arumeru au wazee wa ccm? Fafanua.
Na bado; hizi ni rasha-rasha, subirini za masika zianze kwa nyie (ccm) ambao bado mpo mabondeni.
huyu jamaa wa pili toka kulia ni hatari saaana......makada Arumeru chungeni mizingo yenu.Yaani wanamtumia mpaka mzee Sarakikya!
Hao wazee wa CCM mamlaka yao ni kwa vijana wa CCM tu.
kundi la wazee wa meru wamemtaka bw godbless lema kutoshiriki kwenye kampeni za uchaguzi mdogo kuziba nafasi iiyoachwa wazi na marehemu j sumari aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya ccm.
Sababu wanasema alitoa matamshi wakati wa kuaga mwili wa marehemu kwamba "sasa sumari amekufa hili jimbo lazima lichukuliwe na chadema" kwa hiyo amewavunjia heshima'
habari zaidi soma hapa:dailynews online edition - meru elders ban mp lema
Mi nilijua amepigwa stop kwa amri ya mahakama kumbe ni CCM, hii ni sawa na kwenda uwanja wa vita huku ukiwaambia adui kuwa marufuku kuja na silaha kali, ebo! sasa wewe kama unaogopa silaha kali unataka vita ya nini?, si uingie mitini tu uache adui achukue nchi.
Hii inanikumbusha enzi za 'cha ndimu' mtu akija amevaa daluga tunamwambie avue la sivyo hatuchezi nae mpira.
Wamempiga marufuku wao kama nani?wanaleta sheria za majumbani kwao kwenye siasa,mamlaka yao yanaishia CCM na majumbani kwao tu.
Hili ni gazeti la ccm na hawana jipya la kuandika na wala hawamtishi huyu jembe letu la kweli.