Mbunge wa Arusha mjini anaongea kupitia Radio 5 ya jiji hilo.
alinunua ambulance, Halmashauri imelikataa, kesho atakwenda nalo kwenye mkutano wananchi wamshauri nini afanye nalo
Hospitali ya mama na mtoto ujenzi unaendelea
Machinga complex ya Arusha mpango unaendelea, wanatafuta wafadhili, atajenga soko la kisasa.
Machinga wafanye kazi zaidi waendelee, umachinga ni daraja tu kupita hivyo wasogee utukufu mwingine
Dr. Slaa kiboko, KAVURUGA kambi nzima, sasa hivi watu ni full kujaribu kujibu mapigo bila mafanikio.
Rais wa kuzimu labdaLowasa ni rais wa JMT
Tatizo lenu wengi hamjui,slaa na kashifa za lowasa ndo ziliijenga cdm tangu 2010 Leo anayasema lowasa akiwa cdm eti nimnafiki unafiki wake uko wapi?
Rais wa kuzimu labda
Rais wa kuzimu labda
Rais aliyeteuliwa na Mungu muumba mbingu na nchi. Upende usipende, Mungu akisema ndio hakuna wa kusema hapana. Lowassa ni mtu safi, na mbingu imeafiki yeye kuwa rais.
Jibu hoja mkuu heshima yako lkn
Rais aliyeteuliwa na Mungu muumba mbingu na nchi. Upende usipende, Mungu akisema ndio hakuna wa kusema hapana. Lowassa ni mtu safi, na mbingu imeafiki yeye kuwa rais.
Mussa vipi tena! mbona una panic! ufisadi ni sifa.... take eazy.... haujamuelewa Mwenyekiti Mwenza.... hakuna FISADI Tanzania bali kuna Mfumo
Ni kweli mkuu! By the way, kulingana na kauli aliyokwishaitoa Dr Slaa miezi michache iliyopita ni kwamba: Magufuli anastahili kuwa gerezani kwa tuhuma ya kuuza nyumba za serikali kifisadi . Wakati huo huo wiki hii amesema: Lowasa naye ni mchafu kwenye kashfa ya Richmond, hafai kuwa rais!Lowasa ni rais wa JMT