Lema amekuwa mtamu kuliko Lisu - Bungeni Live

mrelbattawy

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
564
Reaction score
112
Amechana vibbaya sana., mawaziri 5 kwenye List amewataja mara 100 zaidi ili kuwajibika, nchi haina usalama wa taifa.,
 
Lisu kaongea vitu vya msng zaidi. Lema kahamasisha
 
MIZIGO ipo maji ya shingo! walizoea sana kuvunja sheria na kufanya wanalotaka.big up sana mh. Lissu na mh. Lema
 
Lema kweli ni mtamu ndo maana washikaji walimpiga Kabang na wanasema ni mtamu kweli..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Una laana ya wazazi kawatake radhi vinginevyo soon utachizika.
 
Ila wandugu leo Lema na Lissu wamepiga msumari balaa.
 
..amekua mtamu.!!!?

Amekukuna wapi?
 
Lema kweli ni mtamu ndo maana washikaji walimpiga Kabang na wanasema ni mtamu kweli..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Asante kwa kutudhihirishia upumbavu wako
 
Mngeweka walicho kisema kwani siyo wote tuna access ya TV
 
Lema kweli ni mtamu ndo maana washikaji walimpiga Kabang na wanasema ni mtamu kweli..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Hahhhahahahahahhaaaaaa!

Mbafu sangu mie aseee!
 
Amechana vibbaya sana., mawaziri 5 kwenye List amewataja mara 100 zaidi ili kuwajibika, nchi haina usalama wa taifa.,

Hivi wale watetezi wa Serikali ya CHAMA CHA MAPINDUZI wako wapi??? Mbona wako kimya leo...?
 
Back
Top Bottom