Lema amekuwa mtamu kuliko Lisu - Bungeni Live

Fanfa

JF-Expert Member
Sep 25, 2009
564
250
Washikaji pia walipiga kabang yako ndio maana umelegea makalio

Lema kweli ni mtamu ndo maana washikaji walimpiga Kabang na wanasema ni mtamu kweli..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
13,169
2,000
Ni afadhali serikali ya makaburu South Africa kuliko unyama huu wa serikali ya JK dhidi ya watu walio mchagua!Aheri apartheid regime kuliko utawala huu wa JK!!

Kwenye facebook ya Zitto kaandika kuwa kuna Mama mmoja Wilayani Babati alilazimishwa afanye mapenzi na wakwe zake!Kule Mara kuna wanaume walilazimishwa kufanya mapenzi na mizoga ya wanyama!Kuna kipengele ndani ya ripoti kikitaja hadi majina waawake walikatwa katwa na viwembe!!!

Hii kweli ni TZ?Hapo ndipo tulipofikia?JJ Mnyika(MB) alituambia haya zamani kidogo"Udhaifu wa JK ndiyo umetufikisha hapa"
 
Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,392

hii stori imenifanya nidondoshe machozi,nimesikia uchungu sana,sijui tanzania inaelekea wapi,serikali isipowajibisha wizara husika ..... sijui nita...................
 
john84

Senior Member
Nov 22, 2013
199
0
Lema kweli ni mtamu ndo maana washikaji walimpiga Kabang na wanasema ni mtamu kweli..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Umekosa malezi ya pande mbili. Ndio matatizo ya kulelewa na mzazi mmoja matokeo yake ndio haya majibu...pole kwa wanakutegemea.
 
MUSONI

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
858
1,000
Kababi hapa tunaongea hoja za kujenga Taifa sio unazi kama huo wa ....kabang..tutumie busara zaidi
 
Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,020
2,000
Naona mnajaribu kutaka kulinganisha mlima na kichuguu!baada ya mchana Mtumzima kukongwa nyoyo za watanzania
 
Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,537
2,000
Unajua Mapishi ya Chapati wewe Kabibi? Unajua Mapishi ya Samaki wee Kabibi? Naona Wanaume huwa tunakupika sana kama Chapati na kukukaanga kama Samaki - Ukiiva huku, tunakugeuza upande wa pili.

Watu wanajadili kuhusu mateso ya watu. Mwanamke kaingiziwa chupa ukeni, wewe unafanya mdhaha na Chilisosi wako. Mtu kaambiwa achore sijui Mamba kwenye Paja kwa kutumia wembe, wewe unafanya utani. Watu wameuawa na kuteswa vibaya mno na wengine kupoteza mifugo yao, wewe unacheka. Mungu mwenyewe atakuhukumu.
Lema kweli ni mtamu ndo maana washikaji walimpiga Kabang na wanasema ni mtamu kweli..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom