Lema ailiza tena CCM: Mjumbe wa kamati kuu Wilaya na kamati yake yote wahamia CHADEMA

Huyo katibu kata ndiyo wakuiliza CCM? Wameondoka kina Dr Slaa, Mtei, Mbowe, Prof Safari, Mabere Marando, Mrema, CCM hawajalia sembuse huyo katibu kata hunamjua wewe na Lema.
Utakufa kwa mufadhaiko/kihoro mwaka huu kumbuka mwaka huu tumeshatangaza ni wamapambano mpaka 2015..
 
chadema mmebaki history huo ndio ukwel hata jamaa enu mbowe anajua ndio maana hana la kuongea na m4 chagaz kwishiney
 
Endelea kujifaliji kijana..sisi tunabomoa kuanzia chini kabisa mpaka 2014 utaona madhara yake..
chadema mmebaki history huo ndio ukwel hata jamaa enu mbowe anajua ndio maana hana la kuongea na m4 chagaz kwishiney
 
hao wakihamia sijui tuweke ant virus gani maana wataleta shida

hawa hatuwataki kwenye chama chetu watu wana ratibu na kukodisha watu wakaue matokeo yake wao ndiyo wakafa...halafu unataka waje kwenye chama chetu
 
sidhani kama CCM itakufa, haya mambo ya kuhama chama yapo hata hapa Marekani; watu wanahama kila siku kwa sababu lukuki, na nzuri watu kuhama kwasababu inatoa nafasi kwa watu wa chini kupanda pia.
 
Yule mlevi aliyesema Lema anakiangamiza chama ameshaokoka?mbona hajarudia tena?
 
Aliekuwa Katibu mwenezi kata(Unga Ltd) na mjumbe wa halimashauri kuu wilaya (Musa Lugo) na kamati yake yote wamejiunga na CHADEMA leo na kupokelea na Mh. Lema...

Are they really serious. mimi watu wa aina hiyo huwa siwaamini!
 
Endelea kujifaliji kijana..sisi tunabomoa kuanzia chini kabisa mpaka 2014 utaona madhara yake..

Huyo ni wa kumsamehe bure mkuu,ukiona mtu mpaka leo 2013 anazungumzia ukanda,ukabila au udini ujue hakuna mtu atakaeweza kumkomboa kifikra,maana hata elimu ya kata imeshndwa kumkomboa!
 
CCM wana roho ya Paka na ndiyo maana Nape alishasema CCM haiwezi kufa na wote wakiondoka atabaki yeye nafikiri alikuwa anajua kitakachotokea.
 
chadema mmebaki history huo
ndio ukwel hata jamaa enu mbowe anajua ndio maana hana la kuongea na m4
chagaz kwishiney
sio kila mwenye kichwa anazo fkra chanya,kama we ni bonge la wajinga na iktokea uchaguz bas utakuwa mheshimiwa kwenye kundi hilo,
 
Back
Top Bottom