50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 3,875
- 3,730
Wa nini?Hatuwataki labda waende PPT-MAENDELEO.
ama CHAUMMA
Wa nini?Hatuwataki labda waende PPT-MAENDELEO.
Utakufa kwa mufadhaiko/kihoro mwaka huu kumbuka mwaka huu tumeshatangaza ni wamapambano mpaka 2015..Huyo katibu kata ndiyo wakuiliza CCM? Wameondoka kina Dr Slaa, Mtei, Mbowe, Prof Safari, Mabere Marando, Mrema, CCM hawajalia sembuse huyo katibu kata hunamjua wewe na Lema.
Utakufa kwa mufadhaiko/kihoro mwaka huu kumbuka mwaka huu tumeshatangaza ni wamapambano mpaka 2015..
Bado mwigulu na nape watahamia tu
Hao wakihamia na wakakubaliwa wahamie mie nitahama!
Aliekuwa Katibu mwenezi kata(Unga Ltd) na mjumbe wa halimashauri kuu wilaya (Musa Lugo) na kamati yake yote wamejiunga na CHADEMA leo na kupokelea na Mh. Lema...
Bado mwigulu na nape watahamia tu
Endelea kujifaliji kijana..sisi tunabomoa kuanzia chini kabisa mpaka 2014 utaona madhara yake..
Mkuu hata mimi huna imani na taarifa zangu...
sio kila mwenye kichwa anazo fkra chanya,kama we ni bonge la wajinga na iktokea uchaguz bas utakuwa mheshimiwa kwenye kundi hilo,chadema mmebaki history huo
ndio ukwel hata jamaa enu mbowe anajua ndio maana hana la kuongea na m4
chagaz kwishiney