Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,925
- 2,802
Bado mwigulu na nape watahamia tu
Tena uishie hapohapo!
Bado mwigulu na nape watahamia tu
hawa vituko mwingine amebaki kutangaza kila siku ooo leo kuna wabunge wana hamia ccm lakini chadema vi vitendo tu...
Najua imeingia na inauma sana pole sana mama/ kaka lakini kama unaweza kujipa muda kidogo ukaenda kusoma upya bandiko langu upya hutakuja na huu upuuzi wako...Acha upuuzi wewe unawajua wajumbe wa kamati kuu ya wilaya ?kamati ya siasa ndio kama kamati kuu,hapa kuna wajumbe kama mkuu wa wilaya ,meya ,mwenyekiti wa wilaya,katibu wa wilaya etc.sasa umemuongelea mwenezi wa kata halafu unadanganya watu kuwa kamati kuu yote ya wilaya ......... hahahhahaahaahahaah kweli ujinga ni maradhi ,,,,,,,,au ulimaanisha halmashauri kuu wilaya ,,,hilo nalo .ni uongo maana inawajumbe zaidi ya arobaini chadema mnavituko sana na kulishana matumaini hewa pumbafuuuuuuuuu
mtakalia hayo hayo nchi hii inawenyewe nawenyewe ni ccm,ukwel unaumaa
Kawaingizia msumali wa moto tena...