Lema ailiza tena CCM: Mjumbe wa kamati kuu Wilaya na kamati yake yote wahamia CHADEMA

Ni jambo jema lakini kutokana na nguvu,mbinu zinazotumiwa na Maccm kuivuruga CDM,yapasa umakini mkubwa kuwachunguza wahamiaji.Jambo linalopaswa kuangaliwa kwa jicho la pili ni tabia ya kuwapa vyeo au nafasi za kugombea punde tu wahamiapo digital.Hii ni kuepuka kuwa na manyang'au wanaohamia CDM kutokana na hasira ya kukosa nafasi fulani na si kwamba wametafakari na wakaamua nafsini mwao kuongeza nguvu ya ukombozi.Mamluki hawa wakishapoa hasira zao huanza kuimis CCM na tabia zake(rushwa,ufisadi)na matoke yake ni kufanya kazi za Maccm ndani ya CDMrejea[SHIBUDAA]hata Magufuli au Mwakyembe akihamia digital leo asipewe cheo mpaka tujiridhishe na uhalisia wake
 
Ahsante kwa taarifa tamu mkuu Crashwise. Weekend yangu imekamilika vizuri. Heri walioona mapema kuwa meli ya ukombozi ndiyo ifaayo. Wengine wafuate.
 
Last edited by a moderator:
Acha upuuzi wewe unawajua wajumbe wa kamati kuu ya wilaya ?kamati ya siasa ndio kama kamati kuu,hapa kuna wajumbe kama mkuu wa wilaya ,meya ,mwenyekiti wa wilaya,katibu wa wilaya etc.sasa umemuongelea mwenezi wa kata halafu unadanganya watu kuwa kamati kuu yote ya wilaya ......... hahahhahaahaahahaah kweli ujinga ni maradhi ,,,,,,,,au ulimaanisha halmashauri kuu wilaya ,,,hilo nalo .ni uongo maana inawajumbe zaidi ya arobaini chadema mnavituko sana na kulishana matumaini hewa pumbafuuuuuuuuu
 
hawa vituko mwingine amebaki kutangaza kila siku ooo leo kuna wabunge wana hamia ccm lakini chadema vi vitendo tu...

chadema ni vitendo na sio maneno kama ya mwigulu mara mkanda wa mauaji mara wabunge wanahamia ccm maneno kibao jamaa anafikiri kwa kutumia mayor wa jiji la dsm
 
Habari nzuri kwani watawahamasisha magamba yaliyokuwa chini yao wahamie CDM. 2015 kura kwa CHADEMA. CCM RIP.
 
Acha upuuzi wewe unawajua wajumbe wa kamati kuu ya wilaya ?kamati ya siasa ndio kama kamati kuu,hapa kuna wajumbe kama mkuu wa wilaya ,meya ,mwenyekiti wa wilaya,katibu wa wilaya etc.sasa umemuongelea mwenezi wa kata halafu unadanganya watu kuwa kamati kuu yote ya wilaya ......... hahahhahaahaahahaah kweli ujinga ni maradhi ,,,,,,,,au ulimaanisha halmashauri kuu wilaya ,,,hilo nalo .ni uongo maana inawajumbe zaidi ya arobaini chadema mnavituko sana na kulishana matumaini hewa pumbafuuuuuuuuu
Najua imeingia na inauma sana pole sana mama/ kaka lakini kama unaweza kujipa muda kidogo ukaenda kusoma upya bandiko langu upya hutakuja na huu upuuzi wako...
 
mtakalia hayo hayo nchi hii inawenyewe nawenyewe ni ccm,ukwel unaumaa

Mwambie Kikwete aende Mtwara akatulize mzuka wa wana Mtwara...uone wenyenchi watakavyo mwadabisha....Maana inaelekea huwajui wenyenchi, umepewa kulinda geti unajifanya nyumba yako kimbembe mwenye nyumba akiamua mkia unaufyata....
 
Kawaingizia msumali wa moto tena...

Huyo katibu kata ndiyo wakuiliza CCM? Wameondoka kina Dr Slaa, Mtei, Mbowe, Prof Safari, Mabere Marando, Mrema, CCM hawajalia sembuse huyo katibu kata hunamjua wewe na Lema.
 
Back
Top Bottom