Natilia sana mashaka umakini wa huyu mheshimiwa, hasa pale anapotaka kulinganisha TZ na Libya au waTZ na walibya nadhani atakuwa anafanya makosa makubwa sana kama si kujidangaya. Niangalizo tu.
Wewe ndiyo Duwanzi mwenye ganzi usiyeumia au una hisa katika mateso yetu.
Kama huna hoja nyamaza au acha upuuzi.
Tanzania hii ina wenyewe, wazalendo wa kweli ambao hatuko tayari kuona inachezewa.
Wana-Arusha tumechoshwa na vitisho na pumba za huyu Mbunge. Thubutu kulianzisha uone jinsi wananchi watakavyoungana na vyombo vya dola kuwaweka sawa. Hatujasahau jinsi wewe na wasanii wenzako mlivyosababisha watu kufa na baadaye kutumia maiti zao kujinadi kisiasa. Hamtapata nafasi nyingine ya kufanya huo ufedhuli.
- Tuacheni tuchape kazi tujenge nchi yetu, Hatuna muda wa kupoteza vijiweni kama machalii na masela wako.
- Ngebe za kisiasa zisubiri 2016.
Hapo kwenye red (maneno yako) kwa hali ilivyo hapa tanzania chama kama cdm kinatakiwa kiwe na military wing yake au la? maana yake ccm its seems wanazo tayari sasa nyie mnasubiri nini?
Hapa unamuuliza nani hasa wewe?. Nani kakwambia mimi CHADEMA?, si wote wanaopinga udhalimu wa CCM ni CHADEMA au wapinzani. Wapo CCM ndani ya chama wanapinga upuuzi huu wa kuchezea amani ya nchi na wapo wasiokuwa ma chama wanapinga upuuzi huu wa kuchezea amani ya nchi. Mwaka 1992 tuliporudisha mfumo wa vyama vingi, wakati Tanzania ilipokuwa na viongozi wanaofikiria wananchi zaidi ya matumbo yao na familia zao kama Mwl Nyerere walilisemea hili la kuambatanisha siasa na vyombo vya usalama. Unapokuwa na watu waliokabidhiwa dhamana ya kulinda raia na mipaka ya nchi kwa mujibu wa katiba kuwa mashabiki wa siasa unajenga mazingira ya kulipua nchi, wananchi watakapokata tamaa na vyombo hivi.
Kwa kuwa leo hii nchi inashikiliwa na genge la watu waliojimbikizia mali kifisadi na wanahitaji kulindwa na mkono wa sheria, matokeo yake wanavunja katiba kwa masilahi binafsi. Hakuna haja ya CDM wala chama chochote cha upinzani kuwa na armed wing, Armed wing ni PUBLIC TRUST, siku wakisema wananchi NO tunataka kuongozwa na X badala ya CCM, maghala ya risasi yataisha na bado hawatarudi nyuma.
Hakuna kitu kibaya kama kupoteza public trust, na kwa hili serikali ya CCM imefanikiwa sana. Hakuna mtanzania leo hii anayeiamini mahakama, polisi, Usalama wa taifa, na hivi karibuni Shimbo alipeleka shombo hiyo JWTZ japo walimdhibiti na kuminimise damage. Huwezi jenga Public trust kwa oppression or aggression, wananchi hawapaswi kuwaogopa au kuwachukia Polisi, au TISS, Tume ya uchaguzi au mahakama, bali wanapaswa kuwaheshimu na kuwaamini. Unapotumia vyombo hivi kisiasa kwa masilahi yako si tu vinakusaidia kubakia madarakani bali vinakufanya uongoze watu wasikuwa na imani nawe na kuvifanya vyombo vya dola kuonekana kandamizi badala ya saidizi kwa wananchi.
Hawana jipya Usalama wa Taifa wa bongo, tunawajua kazi yao kushinda bar na kujigamba, 'unanijua mimi?', Masaburi tu!

Hata Libya na Tunisia imewahi kudhaniwa kuwa ni nchi ya utawala wa sheria, kwa kifupi tuliosoma Sheria katika vyuo vya sheria kubambikiwa kesi si utawala wa sheria kama unadhani CCM inachofanya ni utawala wa sheria basi una muda mfupi wa kuamini katika hilo potofu nunaloliaminiWaachaeni wafanye kazi zao, nchi hii ya utawala wa sheria
Nini cha kufanya sheria za nchi zipo wazi kabisa kama huelewi rejea katiba jeshi halipaswi kuwa na mfungamano na na chama chochote cha siasa,ila CCM wanakiuka kama wanavyafanya ila kwa kifupi wanaitengenezea nchi JENEZA.Nilikuuliza wewe ndio sababu nilinukuu maandishi yako. Bado nakuliza tena hivi vyombo vya usalama vilivyoko vinatumiwa na ccm na kwa maneno yako vinapoteza public trust. Je huoni ni wakati muafaka kwa vyama vya saisa ikiwemo cdm kuanzisha military wings zao. Hivi vilivyoko nivya ccm na kwa manufaa ya ccm. Au nikuulize hivi kifanyike nini ili vyombo hivi virudishe hiyo public trust ambayo vimeipoteza.
Hakuna haja ya jina la huyo msaidizi kwani cheo kiko wazi kabisa kama kuna hatua yoyote ya manufaa unayo anza tu bila wasiwasiAnaitwa nani huyo Msaidizi wa Mkuu wa Usalama wa Taifa, Arusha tuanze naye yeye kwanza?
Nini cha kufanya sheria za nchi zipo wazi kabisa kama huelewi rejea katiba jeshi halipaswi kuwa na mfungamano na na chama chochote cha siasa,ila CCM wanakiuka kama wanavyafanya ila kwa kifupi wanaitengenezea nchi JENEZA.
Hivi nani alimwaga damu kama c polisi? hivi amfuate Mnyika na Zitto hivi tatizo la Arusha ndilo la Ubungo na Kigoma ? HIVI YUPI mwenye fujo anetishiwa anayetishia ebu usiwe mchumu wa kufikiri?Huyu Lema ana matatizo gani?
Kwanini asiige kutoka kwa Zitto na Mnyika?
Anaonekana mtu wa vurugu muda wote, ameshasababisha wakazi wa Arusha kumwaga damu na bado anaendelea kuchochea vurugu!
Wakazi wa Arusha amkeni, huyu siyo mtu mzuri kwenu.