Lema 'aichana' Idara ya Usalama wa Taifa

Lema 'aichana' Idara ya Usalama wa Taifa

Status
Not open for further replies.
Usalama wa taifa bado ni tatizo. Haiwezekani pesa ziibiwe benki kuu halafu mseme kuna USALAMA WA TAIFA. Hakuna
 
Natilia sana mashaka umakini wa huyu mheshimiwa, hasa pale anapotaka kulinganisha TZ na Libya au waTZ na walibya nadhani atakuwa anafanya makosa makubwa sana kama si kujidangaya. Niangalizo tu.

Habari ndiyo hiyo kalaga baho
 
Natilia sana mashaka umakini wa huyu mheshimiwa, hasa pale anapotaka kulinganisha TZ na Libya au waTZ na walibya ....
Mkuu,
Ulinganifu unakuja tu kwenye uvumilivu! Sasahivi wa tz tumeshachoka na haya maisha. Akilianzisha mtu tu ndio utafahamu ninachomaanisha. Watunisia walichoka na hali ya maisha na alipouliwa mtu m1 na polisi, wakaamua kuanzia hapo!
 
Nafikiri Arusha siku moja itakuwa Banghazi ya Tanzania maana chadema inatafutiwa kila sababu ili iangushwe lakini hawataweza maana watu Wa Arusha sasa hivi wako tayari kwa lolote.

Niliona siku ya mkutano Wa chadema ulifanyika mwezi uliopita.

Ombi langu kwa usalama Wa taifa wasitumiwe na vyama kutuharibia nchi.
Mkuu nimekupa,ila ondoa shaka hao ulinzi na usalama wa CCM acha wapande mbegu zakuaribu nasi tunakuja kujenga taifa letu TANGANYIKA wenyewe.VIVA THE TRUE LIBERATION AND EMANCIPATION OF TANGANYIKANS.
 
Mungu atusaidie Tanzania.

Tanzania ulikuwa na amani lakini tunaona kidogo kidogo umeanza kuishiwa na amani je Tanzania unatupeleka wapi?
Kaka amani ya tanzania isha expiry samani tunasubiria mathara yawe makubwa ili mtumiaji ahamue mwenyewe
 
Usalama WaTAIFA WA TANZANIA kazi yao nyingine ni kushinda huma Jf, kufatilia nani anaisema ccm vibaya, Ipo siku tunawaibua na kuwachapa bakora uko waliko. . !
 
Hawana jipya Usalama wa Taifa wa bongo, tunawajua kazi yao kushinda bar na kujigamba, 'unanijua mimi?', Masaburi tu!
 
Tanzania hii ina wenyewe, wazalendo wa kweli ambao hatuko tayari kuona inachezewa.
Wana-Arusha tumechoshwa na vitisho na pumba za huyu Mbunge. Thubutu kulianzisha uone jinsi wananchi watakavyoungana na vyombo vya dola kuwaweka sawa. Hatujasahau jinsi wewe na wasanii wenzako mlivyosababisha watu kufa na baadaye kutumia maiti zao kujinadi kisiasa. Hamtapata nafasi nyingine ya kufanya huo ufedhuli.

  • Tuacheni tuchape kazi tujenge nchi yetu, Hatuna muda wa kupoteza vijiweni kama machalii na masela wako.
  • Ngebe za kisiasa zisubiri 2016.
 
kwa hio huyu masaburi anataka kupindua nchi ama?
Sura yake ya kijambaz ni mzigo tosha kwetu SHUT HIM UP PLEASE he suck
 
Kaburi lako limeshachimbwa,unasubiri kuzikwa.
Tanzania hii ina wenyewe, wazalendo wa kweli ambao hatuko tayari kuona inachezewa.
Wana-Arusha tumechoshwa na vitisho na pumba za huyu Mbunge. Thubutu kulianzisha uone jinsi wananchi watakavyoungana na vyombo vya dola kuwaweka sawa. Hatujasahau jinsi wewe na wasanii wenzako mlivyosababisha watu kufa na baadaye kutumia maiti zao kujinadi kisiasa. Hamtapata nafasi nyingine ya kufanya huo ufedhuli.

  • Tuacheni tuchape kazi tujenge nchi yetu, Hatuna muda wa kupoteza vijiweni kama machalii na masela wako.
  • Ngebe za kisiasa zisubiri 2016.
 
waachaeni wafanye kazi zao, nchi hii ya utawala wa sheria
hatuhitaji watu wenye imani kama hii. Sheria gani zinazobana wanademokrasia na kuacha watu wakijimilikisha mapato ya nchi?
 
Tanzania hii ina wenyewe, wazalendo wa kweli ambao hatuko tayari kuona inachezewa.

Wana-Arusha tumechoshwa na vitisho na pumba za huyu Mbunge. Thubutu kulianzisha uone jinsi wananchi watakavyoungana na vyombo vya dola kuwaweka sawa. Hatujasahau jinsi wewe na wasanii wenzako mlivyosababisha watu kufa na baadaye kutumia maiti zao kujinadi kisiasa. Hamtapata nafasi nyingine ya kufanya huo ufedhuli.

Tuacheni tuchape kazi tujenge nchi yetu, Hatuna muda wa kupoteza vijiweni kama machalii na masela wako.

Ngebe za kisiasa zisubiri 2016.
machalii na masela ndo wamejaa tele arusha na wakilianzisha 2 wa2 wa muji wa wagumu tunapanda meru fasta kuungana na wenzetu wa cdm
 
MADAKTARI SLAA NA ALI MOHAMED SHEIN, BUSARA ZENU NI KWA DHARURA ARUSHA... LA SIVYO

Hivi vyombo ni vyetu sisi walipa kodi na KAMWE hatutokiruhusu chama chochote, kikundi wal mtu yeyote KUVIHODHI kwa maslahi tatanishi nchini!!!

Kuwalipa tulipe kwa pamoja ila kimatumizi ukawatumie wewe peke yako kwa maslahi BINAFSI - hiyo atakubali nani vile??????????? CHADEMA wamekua wavumilivu mno Arusha lakini chokochoko za CCM hazionyeshi kutitia hata tone.

Jamani, hata mbwa koko ukimtimua takimbia lakini ukimkabili saaaana hadi akafikia ukatani nakwambia kitakachofuatia salia mitume tena!!!

Dr Ali Mohammed Shein, busara zako na zile za Dr Slaa zinahitajika Arusha haraka sana ili kuokoa hii hali inayolazimishwa kila kukicha na CCM Bara shingoni mwetu.

Machaliii wote kote nchini, la mgambo likilia Arusha ............

Hii statement si ya kupuuzia wana Arusha wanawaaminia mkilianzisha sisi wa Mwanza tutaitikia haraka sana.
 
Natilia sana mashaka umakini wa huyu mheshimiwa, hasa pale anapotaka kulinganisha TZ na Libya au waTZ na walibya nadhani atakuwa anafanya makosa makubwa sana kama si kujidangaya. Niangalizo tu.

Ni kweli kabisa mkuu hasa ukiangalia kwa juu juu ila ukiwa deep there is something in Common, UKANDAMIZAJI na UONEVU. Ukiona serikali inakula njama ya kuwadhulu wananchi wake kwa sababu tu hawakubaliani nayo ni dhahiri inakuwa imekosa legitimacy ambayo huwepo pale inapolinda wananchi wake bila kujali itikadi zao. Serikali ya Tanzania imekuwa na Tabia ya kutumia vyombo vya kulinda usalama wa raia katika kuwaangamiza raia wanaotofautiana nao kisiasa na hata kimtazamo. Kitendo cha kula njama katika kuiba kura wakati wa uchaguzi au hata kufikiria kuwafilisi wafanyabiashara wanaoshabikia upinzani hakilingani tu Libya ila ni sawa na matendo ambayo gaddafi amekuwa akiyafanya kwa wananchi wake kwa miaka mingi, japo sisi Tanzania yamekuwa yakifanyika kwa awamu tofauti za watu walewale wanaojiita CCM.

I hate ujanjaujanja katika kupata ridhaa ya kuongoza nchi. Na ikitokea chama chochote mbali na CCM kikatumia mbinu kama hizi nacho hakitakuwa tofauti na Libya. Unapokuwa na mfumo wa utoaji haki katika kila nyanja siyo tu unaongeza ufanisi bali unaongeza kasi ya maendeleo kwa watendaji kuwatumikia wananchi badala ya kuwalinda mabwana zao waliopatia nafasi mbalimbali. Na kwa hili Lema yupo sahihi, Idara hizi zimegeuzwa kuwa Armed wings of CCM to perpetuate their ruling of the country with or without public mandate.
 
Yaaani ninavyoipenda chadema sijui nisemeje,viongozi wako safi na hawaogopi mtu wanawapa ukweli vibalaka wa ccm bila kuficha hata neno 1,yaani siku likilipuka ni kuwasaka vibala kwanza na kuwapa haki yao kabla ya wengine.
 
Natilia sana mashaka umakini wa huyu mheshimiwa, hasa pale anapotaka kulinganisha TZ na Libya au waTZ na walibya nadhani atakuwa anafanya makosa makubwa sana kama si kujidangaya. Niangalizo tu.
Wewe ndiyo Duwanzi mwenye ganzi usiyeumia au una hisa katika mateso yetu.
Kama huna hoja nyamaza au acha upuuzi.
 
Kama kuna mtu yeyote mwenye uwezo wa KUUA FIKRA ya kuchukia WIZI WA KURA mchana mchana nchini na basi aendelee na janja zake za nyani. Lakini kama ni yule tu mwenye uwezo wa kuua miili tu, wala asipoteze muda kuweka vizuizi kibao mbele ya kile wakipendacho UMMA hapa nchini.

Watu wakisema tu kwamba wamechoshwa, ndio basi tena hata aje nani vile; mzaha mzaha wa serikali kuchezea karata tatu uonevu wa Jijini Arusha mwishowe watu tutalazimika kujenga ukuta mwisho wa siku.

Ni kweli kabisa mkuu hasa ukiangalia kwa juu juu ila ukiwa deep there is something in Common, UKANDAMIZAJI na UONEVU.

Ukiona serikali inakula njama ya kuwadhulu wananchi wake kwa sababu tu hawakubaliani nayo ni dhahiri inakuwa imekosa legitimacy ambayo huwepo pale inapolinda wananchi wake bila kujali itikadi zao.

Serikali ya Tanzania imekuwa na Tabia ya kutumia vyombo vya kulinda usalama wa raia katika kuwaangamiza raia wanaotofautiana nao kisiasa na hata kimtazamo. Kitendo cha kula njama katika kuiba kura wakati wa uchaguzi au hata kufikiria kuwafilisi wafanyabiashara wanaoshabikia upinzani hakilingani tu Libya ila ni sawa na matendo ambayo gaddafi amekuwa akiyafanya kwa wananchi wake kwa miaka mingi, japo sisi Tanzania yamekuwa yakifanyika kwa awamu tofauti za watu walewale wanaojiita CCM.

I hate ujanjaujanja katika kupata ridhaa ya kuongoza nchi. Na ikitokea chama chochote mbali na CCM kikatumia mbinu kama hizi nacho hakitakuwa tofauti na Libya.

Unapokuwa na mfumo wa utoaji haki katika kila nyanja siyo tu unaongeza ufanisi bali unaongeza kasi ya maendeleo kwa watendaji kuwatumikia wananchi badala ya kuwalinda mabwana zao waliopatia nafasi mbalimbali.

Na kwa hili Lema yupo sahihi, Idara hizi zimegeuzwa kuwa Armed wings of CCM to perpetuate their ruling of the country with or without public mandate.
 
Bastd hivi hii ccm inatakaje,uasalma wa taifa wapi na wapi na siasa,raia wanateseka kwa kibiwa na wezi kila leo,magari nyumba zina vunjwa usalama wa taifa wako baa wankula bia,ikitokea chadema wanjitokeza mstari wa mbele,nyamongo watu wankufa kila leo hakuna anaye enda huko,
Jamani ukombozi wa nchi yetu unaazia Atown,na mie niko hapa niko tayari kwa lolote nitatoka hata kama wanapiga B52 let me die 4 my country. Go go go go chadema,na diwani wng ametolewa kama ni mla rushwa aende zake kwanza sku hizi hatya slamu yng simpi chizi kabisa anachea kura yng!!! New Tanzani is coming soon starting A town no matter what we are ready.peeeeeepleee!!b
 
Ni kweli kabisa mkuu hasa ukiangalia kwa juu juu ila ukiwa deep there is something in Common, UKANDAMIZAJI na UONEVU. Ukiona serikali inakula njama ya kuwadhulu wananchi wake kwa sababu tu hawakubaliani nayo ni dhahiri inakuwa imekosa legitimacy ambayo huwepo pale inapolinda wananchi wake bila kujali itikadi zao. Serikali ya Tanzania imekuwa na Tabia ya kutumia vyombo vya kulinda usalama wa raia katika kuwaangamiza raia wanaotofautiana nao kisiasa na hata kimtazamo. Kitendo cha kula njama katika kuiba kura wakati wa uchaguzi au hata kufikiria kuwafilisi wafanyabiashara wanaoshabikia upinzani hakilingani tu Libya ila ni sawa na matendo ambayo gaddafi amekuwa akiyafanya kwa wananchi wake kwa miaka mingi, japo sisi Tanzania yamekuwa yakifanyika kwa awamu tofauti za watu walewale wanaojiita CCM.

I hate ujanjaujanja katika kupata ridhaa ya kuongoza nchi. Na ikitokea chama chochote mbali na CCM kikatumia mbinu kama hizi nacho hakitakuwa tofauti na Libya. Unapokuwa na mfumo wa utoaji haki katika kila nyanja siyo tu unaongeza ufanisi bali unaongeza kasi ya maendeleo kwa watendaji kuwatumikia wananchi badala ya kuwalinda mabwana zao waliopatia nafasi mbalimbali. Na kwa hili Lema yupo sahihi, Idara hizi zimegeuzwa kuwa Armed wings of CCM to perpetuate their ruling of the country with or without public mandate.
Hapo kwenye red (maneno yako) kwa hali ilivyo hapa tanzania chama kama cdm kinatakiwa kiwe na military wing yake au la? maana yake ccm its seems wanazo tayari sasa nyie mnasubiri nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom