ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Kingine,
Kwanini ccm wakisikia swala la Bomu la Soweto wanachanganyikiwa na kuogopa?
Pili, Kwanini hiyo ripoti ya tume izungumzie Tukio la bomu la Olasiti alafu tukio la bomu la Soweto walinyamazie?
Ninachokifahamu, LEMA ni mmoja wa watuhumiwa katika ulipuaji wa bomu SOWETO, CHADEMA walilipua lile bomu kwenye mkutano wao kwa sababu za kisiasa. Lema asifanye watanzania hawajui kinachoendelea.
Sympathy? subilia mziki wake by 2015
Mkuu,
Hivi kwanini Chadema Arusha waliamua kuchoma moto ofisi yao?
Dah! hapa mkuu umenikumbusha na ndio nauona umburulra wa Lema, yani hapa ndio anaonesha kweli Lema kichwa cha mbuzi,dakika moja ikipita amesha sahau kasema nini!.Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.
Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?
Wajinga ndio waliwao...
Mkuu,
Hivi kwanini Chadema Arusha waliamua kuchoma moto ofisi yao?
Kama unalijua hilo basi hakuna haja ya kulalama, eti akuundie tume! kaeni ushahidi wenu mpaka kufa tuone kama mnawatendea haki hao marehemuHilo linawezekana kwa Tz pekee, maana inaonekana Raisi anafuata matakwa ya wauza sembe na meno ya Tembo.
Kwani alishasema anamajina ya wauza sembe ila awezi yatoa mpaka wamwambie, na tunakumbuka uperesheni tokomeza ujangili, Majangili walimwambia aisitishe nae akasitisha.
So icho unachokisema kinawezekana kabisa.
Dah! hapa mkuu umenikumbusha na ndio nauona umburulra wa Lema, yani hapa ndio anaonesha kweli Lema kichwa cha mbuzi,dakika moja ikipita amesha sahau kasema nini!.
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.
Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?
Wajinga ndio waliwao...
Sasa kwanini Raisi anapata kigugumizi kuunda hiyo tume huru ya majaji?
Pili Rais angeunda hiyo tume na kama kweli Chadema hawana huo ushaidi, huoni ingekuwa ni sababu tosha ya kuiangamiza Chadema ambayo inawanyima usingizi cmm na vibaraka wake?
LEMA wewe ni JEMBE tena jipya lisiloogopa visiki, hongera sana kwa kuwachokonoa
LEMA wewe ni JEMBE tena jipya lisiloogopa visiki, hongera sana kwa kuwachokonoa
CHADEMA, kachama kadogo chenye asili ya kaskazini, chenye wabunge 23, na madiwani wachache, kiinyime serikali iliyoko madarakani usingizi? Kweli BAVICHA mnajijaza upepo! fikiria tena!
Lema hana jipya,bomu walirusha wao CDM,hata majuzi walichoma ofisi moto lkn ofisi Arusha ili wapate huruma ya Wananchi
wata zunguka sana ila ukweli utasimama,,alieua nduguzetu ni serikal full stop.na muda ukifika yooote hayo yatabe open,allah hashindwi.
Matusi ni siraha hafifu sana katika kupambana na hoja.
Tatizo lako umebarikiwa ukosefu wa fikra pevu.
Si ndiyo hawahawa wanailaumu serikali kuhusika?.
Kwa hiyo anataka serikali "iliyoweka" bomu kwenye mkutano ndiyo tena ifanye uchunguzi?. Toka lini kesi ya nyani akapelekewa ngedele?.
Kwa nini asitoe tu hiyo video ili watu waione serikali katika uhusika wake?.
Wewe ni wakuhurumiwa tu kwa sababu siyo kosa lako, this is BAVICHA mentality at its best.
Hata Dr. Ulimboka, Absalom Kibanda walijifanyia ukatili wenyewe....
Yawezekana hata Dr. S. Mvungi na Daud Mwangosi walijiua wenyewe.....!
Serikali dhaifu inaacha raia wake wauawe na kina Lema: haina uwezo wa kuwashtaki wauaji wa raia! Watanzania tusishabikie maovu, wenzetu kupoteza maisha tusifanye mzaha.