Lema aache kumtishia amani DPP

Lema aache kumtishia amani DPP

Siasa anazofanya Lema, Mbunge wa Arusha kwa hakika ni za kijambazi. Katika clip ya video aliyorekodi punde utaona si anamtishia amani DPP tu bali viongozi wote wa awamu ya tano.

Wenye ufahamu wanajua aina ya uongozi wa nchi wanayopigania CHADEMA ni ile ya mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anazidi kuwa maskini. Tafsiri halisi ya demokrasia wanayopigania ni pale kuna ulaghai wa uhuru huku wenyenacho wananunua haki na kuuziwa haki kutokana na mfumo wa rushwa na ubinafsi kutawala.

Huko nyuma wahujumu uchumi na fisadi kumekuwa na kesi tu. Kila mwananchi anajua hujuma na ufisadi lakini hakuna anayekamatwa na akikamatwa anashinda kesi hafungwi maana haki inauzwa na wanasheria na wenye nacho wananunua haki.

Ndio maana baada ya tumbuatumbua ya majipu ya kifisadi fisadi wamejaa gerezani. Ni kweli kama anavyodai lema washutumiwa wa ufisadi na ndugu na marafiki zao wana hasira na kisasi. Ila si kama anavyotumaini Lema eti 'regime' hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi.

Kina Lema wajue Watanzania walifunzwa na Baba wa Taifa kudai haki na kupinga unyonyaji ndio maana Mwalimu Nyerere akaita chama alichokiongoza mwenyewe Chama cha Mapinduzi. CCM sio chama cha kiliberali kama CHADEMA kwa sababu kinapigania demokrasia na kupinga unyonyaji wa tabaka moja kulinyonya tabaka lingine.

Ningemshauri Lema atafakari badala ya kuwatisha watendaji na viongozi wa awamu ya tano kupitia kitisho kwa DPP. Ajue hakuna kurudi nyuma, mapinduzi ya uchumi Tanzania yataenda kwa kasi na kumfadisha kila raia.
Umeandika uzi kishamba sana ! haijulikani kama unahutubia , unalalamika au unalia , Msingi wa Lema kumpa makavu Biswalo Mganga unajulikana , ni baada ya DPP kujifanya ndiye mtoa hukumu , sasa wewe umejiingiza kichwa kichwa hata hueleweki ! anza upyaa
 
Siasa anazofanya Lema, Mbunge wa Arusha kwa hakika ni za kijambazi. Katika clip ya video aliyorekodi punde utaona si anamtishia amani DPP tu bali viongozi wote wa awamu ya tano.

Wenye ufahamu wanajua aina ya uongozi wa nchi wanayopigania CHADEMA ni ile ya mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anazidi kuwa maskini. Tafsiri halisi ya demokrasia wanayopigania ni pale kuna ulaghai wa uhuru huku wenyenacho wananunua haki na kuuziwa haki kutokana na mfumo wa rushwa na ubinafsi kutawala.

Huko nyuma wahujumu uchumi na fisadi kumekuwa na kesi tu. Kila mwananchi anajua hujuma na ufisadi lakini hakuna anayekamatwa na akikamatwa anashinda kesi hafungwi maana haki inauzwa na wanasheria na wenye nacho wananunua haki.

Ndio maana baada ya tumbuatumbua ya majipu ya kifisadi fisadi wamejaa gerezani. Ni kweli kama anavyodai lema washutumiwa wa ufisadi na ndugu na marafiki zao wana hasira na kisasi. Ila si kama anavyotumaini Lema eti 'regime' hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi.

Kina Lema wajue Watanzania walifunzwa na Baba wa Taifa kudai haki na kupinga unyonyaji ndio maana Mwalimu Nyerere akaita chama alichokiongoza mwenyewe Chama cha Mapinduzi. CCM sio chama cha kiliberali kama CHADEMA kwa sababu kinapigania demokrasia na kupinga unyonyaji wa tabaka moja kulinyonya tabaka lingine.

Ningemshauri Lema atafakari badala ya kuwatisha watendaji na viongozi wa awamu ya tano kupitia kitisho kwa DPP. Ajue hakuna kurudi nyuma, mapinduzi ya uchumi Tanzania yataenda kwa kasi na kumfadisha kila raia.
Hatuwezi kununua pumba tukaacha sembe _ kwa chakula Cha binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kwa uelewa wako unaona dpp alichofanya ni sahihi kumtishia mh Lema ambaye kimsingi ni mwakilishi wa wananchi? Alitumia sheria gani kuanza kumuhukumu wakati mahakama haijasikiliza mashitaka yake?

Ana uhalali gani kisheria kwenda kwenye vyombo vya habari na kuanza kumshutumu mh Lema na kumtolea vitisho? Wacheni ujinga wenu huo kwa kuangalia upande mmoja wa shilingi.
Siasa anazofanya Lema, Mbunge wa Arusha kwa hakika ni za kijambazi. Katika clip ya video aliyorekodi punde utaona si anamtishia amani DPP tu bali viongozi wote wa awamu ya tano.

Wenye ufahamu wanajua aina ya uongozi wa nchi wanayopigania CHADEMA ni ile ya mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anazidi kuwa maskini. Tafsiri halisi ya demokrasia wanayopigania ni pale kuna ulaghai wa uhuru huku wenyenacho wananunua haki na kuuziwa haki kutokana na mfumo wa rushwa na ubinafsi kutawala.

Huko nyuma wahujumu uchumi na fisadi kumekuwa na kesi tu. Kila mwananchi anajua hujuma na ufisadi lakini hakuna anayekamatwa na akikamatwa anashinda kesi hafungwi maana haki inauzwa na wanasheria na wenye nacho wananunua haki.

Ndio maana baada ya tumbuatumbua ya majipu ya kifisadi fisadi wamejaa gerezani. Ni kweli kama anavyodai lema washutumiwa wa ufisadi na ndugu na marafiki zao wana hasira na kisasi. Ila si kama anavyotumaini Lema eti 'regime' hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi.

Kina Lema wajue Watanzania walifunzwa na Baba wa Taifa kudai haki na kupinga unyonyaji ndio maana Mwalimu Nyerere akaita chama alichokiongoza mwenyewe Chama cha Mapinduzi. CCM sio chama cha kiliberali kama CHADEMA kwa sababu kinapigania demokrasia na kupinga unyonyaji wa tabaka moja kulinyonya tabaka lingine.

Ningemshauri Lema atafakari badala ya kuwatisha watendaji na viongozi wa awamu ya tano kupitia kitisho kwa DPP. Ajue hakuna kurudi nyuma, mapinduzi ya uchumi Tanzania yataenda kwa kasi na kumfadisha kila raia.

In God we Trust
 
Mi nilimuona alikua anarembua macho tu huku akiukatikia ukuni kwa mauno ya harakaharaka.
 
Kama wana akili wataelewa
Penye ukweli uongo hujitenga. Waliowengi nchini wameujua ukweli. Insha ndeefu ni nzuri iwapo itapendwa na "mwalimu" lakini ni mbaya kwa waliowengi kama imejaa uzandiki na inafinyanga ukweli ulio wazi.

In God we Trust
 
Umesema Lema katamka kuwa "regime hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi". Hii inawekuwa kweli kwa sababu badala ya kujenga mifumo imara ya kupambana na ufisadi, imebakii in one man show. Kiongozi ajaye anaweza akawekwa mfukoni na mafisadi na tusimfanye lolote.Kwa mfumo tulionao rais ni mungu mtu, anafanya inavyompendeza.
 
Nani kakwambia kuwa dpp anamfunga mtu?
Nanshauri DPP amfunge Lema miaka 25 ili akome,,,
Au ampige faini ya bilioni 1 tuone Kama wananchi wataweza kumchangia

In God we Trust
 
Sasa Lema na Huyo DPP nani aliyemtishia mwenzake? Lema hajamtisha kamwambia ukweli kwamba hamuogopi na akitaka ampe hukumu hata ya kumyonga na pia amemsisitiza kwamba awamu hii haingozwi na Mungu wala yesu hivyo itapita tu kama nyingine.
Tatizo la hawa watu wanapenda kusema nyekundu kuwa ni nyeusiNi dhamiri DPP Ndiye alimtisha Lema ila kwa vile katika nchi yetu ukiwa mpinzani hauna haki,ndo maana unaona watu wakifurahia mambo ya kihuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Lema na Huyo DPP nani aliyemtishia mwenzake? Lema hajamtisha kamwambia ukweli kwamba hamuogopi na akitaka ampe hukumu hata ya kumyonga na pia amemsisitiza kwamba awamu hii haingozwi na Mungu wala yesu hivyo itapita tu kama nyingine.
Hivi kumbe anaetoa Hukumu ni DPP!??

Typed Using KIDOLE
 
Mh! Mimi napita tu ili wenye kutetea uvunjifu wa sheria za kuleta taharuki katika jamii, waendeleze mjadala huu.

Alichokisema Lema ni ukweli usioacha shaka, chini ya awamu hii tumeona ulevi wa madaraka wa wazi. Wenye madaraka wakiagiza watu kuteswa, kuuliwa, kushambuliwa kwa risasi na kadhia nyingine kama hizo, huyo DPP akiwa ni mmojawapo na huyo anayemuagiza, lakini ifahamike lazima utawala huu utapita na ni lazima wate bila kujali nani ni nani lazima waje kuwajibika kwa unyama huu wanaoutenda hivi sasa. Big up sana Lema kwa kumweleza huyo mlevi wa madaraka ukweli wake.
 
Siasa anazofanya Lema, Mbunge wa Arusha kwa hakika ni za kijambazi. Katika clip ya video aliyorekodi punde utaona si anamtishia amani DPP tu bali viongozi wote wa awamu ya tano.

Wenye ufahamu wanajua aina ya uongozi wa nchi wanayopigania CHADEMA ni ile ya mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anazidi kuwa maskini. Tafsiri halisi ya demokrasia wanayopigania ni pale kuna ulaghai wa uhuru huku wenyenacho wananunua haki na kuuziwa haki kutokana na mfumo wa rushwa na ubinafsi kutawala.

Huko nyuma wahujumu uchumi na fisadi kumekuwa na kesi tu. Kila mwananchi anajua hujuma na ufisadi lakini hakuna anayekamatwa na akikamatwa anashinda kesi hafungwi maana haki inauzwa na wanasheria na wenye nacho wananunua haki.

Ndio maana baada ya tumbuatumbua ya majipu ya kifisadi fisadi wamejaa gerezani. Ni kweli kama anavyodai lema washutumiwa wa ufisadi na ndugu na marafiki zao wana hasira na kisasi. Ila si kama anavyotumaini Lema eti 'regime' hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi.

Kina Lema wajue Watanzania walifunzwa na Baba wa Taifa kudai haki na kupinga unyonyaji ndio maana Mwalimu Nyerere akaita chama alichokiongoza mwenyewe Chama cha Mapinduzi. CCM sio chama cha kiliberali kama CHADEMA kwa sababu kinapigania demokrasia na kupinga unyonyaji wa tabaka moja kulinyonya tabaka lingine.

Ningemshauri Lema atafakari badala ya kuwatisha watendaji na viongozi wa awamu ya tano kupitia kitisho kwa DPP. Ajue hakuna kurudi nyuma, mapinduzi ya uchumi Tanzania yataenda kwa kasi na kumfadisha kila raia.
Mtoa mada unaweza ukawa hutumii akili yako kadri ya Mungu alivyokupa. Pengine wewe ni wale wawatumikiao binadamu.(Yeremia 17:5 BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu ).

Hii ndiyo awamu ya kwanza kumuona DPP akiongea na vyombo vya habari kama mwanasiasa. Watanzania hatukuzoea. Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ametusemea watu wengi tulioumizwa na DPP Biswalo Mganga. Hakika Mungu atamlinda Godbless Lema dhidi ya hila zote za kishetani. Hapa nawakumbusha tu baadhi ya uovu ambao DPP Biswalo Mganga ameufanya kwa makusudi au kwa kutumika na anayemtuma;

1. Kwenye Plea bargaining wanafanya dhuluma ya wazi wazi kwa kuchukua fedha kwa watu ambao wamewakamata bila ushahidi. Watu wanasota miaka mitatu rumande kwa kisingizio upelelezi haujakamilika, then wanaambiwa waombe msamaha ili waingie plea bargain. Kimsingi Plea bargain inapaswa ifanyike na kusimamiwa na Mahakama, lakini hapa Tanzania inasimamiwa na DPP. Plea bargain ni mradi wa kujipatia fedha binafsi kati ya Jiwe na Biswalo Mganga. Kuna fedha ambayo wanaingiza Serikalini kwenye akaunti ya Plea bargain lakini kuna fedha zingine wanachukua wao binafsi ambazo hazina rekodi lakini mtuhumiwa anaambiwa atoe ili aaweze kuwa eligible.

2. Aliwaachia askari waliomuua Akwilina wa DIT na akawafungulia Mashtaka viongozi 9 wa CHADEMA ambao last week walichangiwa hela na wananchi ili wasifungwe miezi 5 jela.

3. Amewabambikia kesi akina Eric Kabendera, Tito Magoti na wenzie kwa kuwapa kesi ya kutakatisha hela ingawa kwa sabau tu ya kuikosoa Serikali.
 
🤣🤣

Jamaa KUNGURU kweli, kasema hamuogopi DPP ila kajificha.

Kamanda gani anayumbishwa na hana msimamo kabisa?

DPP angeenda mwenyewe kumkata Lema hapo ndio ungejua Lema anaamanisha nini. Sio atume watu.
 
DPP angeenda mwenyewe unamaanisha nini?

Maana tukisema DPP sio Biswalo pekee yake. Ila jamaa KUNGURU unachimba beats halafu unajificha ili iweje?
 
Jibu swali kwanini kajificha kama amuogopi mtu?

Unapoongea utoto gani dogo? huyo DPP angeenda kumkamata mwenyewe Lema ungeona kama asingerudi na ujauzito.
 
Siasa anazofanya Lema, Mbunge wa Arusha kwa hakika ni za kijambazi. Katika clip ya video aliyorekodi punde utaona si anamtishia amani DPP tu bali viongozi wote wa awamu ya tano.

Wenye ufahamu wanajua aina ya uongozi wa nchi wanayopigania CHADEMA ni ile ya mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anazidi kuwa maskini. Tafsiri halisi ya demokrasia wanayopigania ni pale kuna ulaghai wa uhuru huku wenyenacho wananunua haki na kuuziwa haki kutokana na mfumo wa rushwa na ubinafsi kutawala.

Huko nyuma wahujumu uchumi na fisadi kumekuwa na kesi tu. Kila mwananchi anajua hujuma na ufisadi lakini hakuna anayekamatwa na akikamatwa anashinda kesi hafungwi maana haki inauzwa na wanasheria na wenye nacho wananunua haki.

Ndio maana baada ya tumbuatumbua ya majipu ya kifisadi fisadi wamejaa gerezani. Ni kweli kama anavyodai lema washutumiwa wa ufisadi na ndugu na marafiki zao wana hasira na kisasi. Ila si kama anavyotumaini Lema eti 'regime' hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi.

Kina Lema wajue Watanzania walifunzwa na Baba wa Taifa kudai haki na kupinga unyonyaji ndio maana Mwalimu Nyerere akaita chama alichokiongoza mwenyewe Chama cha Mapinduzi. CCM sio chama cha kiliberali kama CHADEMA kwa sababu kinapigania demokrasia na kupinga unyonyaji wa tabaka moja kulinyonya tabaka lingine.

Ningemshauri Lema atafakari badala ya kuwatisha watendaji na viongozi wa awamu ya tano kupitia kitisho kwa DPP. Ajue hakuna kurudi nyuma, mapinduzi ya uchumi Tanzania yataenda kwa kasi na kumfadisha kila raia.
DPP aache kutishia watu sheria siyo panga ni msumeno
 
Sa nani kamtisha nani...hilo liDPP lenu halijui kwamba lema alishakamatwa na kesi ipo singida? Yale matisho ya juzi yalikuwa na maana gani?

Limtu linasimamia sheria linajua kesi ipo mahakamni bado linatishia, hapo ndo utajua mamtu yapo ofcn but yanaendeshwa na mihemko..

lema yupo sahihi kabisa mwanaume lazima ujitete uwezi tishwa tishwa kindezi ukaa kimyaa...Namuunga mkono Mbunge wangu lema.
Kesi haijaenda mahakamani ila iko mbioni kupelekwa .

Kwa hiyo usipotoshe umma.
Lema asubiri kuumbuliwa na kunyea debe segerea kwa kosa lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DPP angeenda mwenyewe unamaanisha nini?

Maana tukisema DPP sio Biswalo pekee yake. Ila jamaa KUNGURU unachimba beats halafu unajificha ili iweje?

Yeye Lema amemtaja kabisa huyo DPP kwa jina, ilitakiwa huyo DPP aende kumkamata Lema na asitumie mtu. Ila Lema kaweka wazi kuwa utawala huu wa uonevu utapita.
 
Kesi haijaenda mahakamani ila iko mbioni kupelekwa .

Kwa hiyo usipotoshe umma.
Lema asubiri kuumbuliwa na kunyea debe segerea kwa kosa lake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Lema haogopi jela na wala hajawahi kuogopa, wanaccm ndio wanaoogopa jela, ndio maana Lugola hachukuliwi hatua yoyote zaidi ya mbwembwe za siasa chafu.
 
Back
Top Bottom