Lema aache kumtishia amani DPP

Lema aache kumtishia amani DPP

Alichosema lema ni ukweli dpp yy ndio amaekua muamuzi wa mwisho yy ndie aamue kesi ipo au haipo au nikuachie huru baada ya kukaa magereza miaka
Siasa anazofanya Lema, Mbunge wa Arusha kwa hakika ni za kijambazi. Katika clip ya video aliyorekodi punde utaona si anamtishia amani DPP tu bali viongozi wote wa awamu ya tano.

Wenye ufahamu wanajua aina ya uongozi wa nchi wanayopigania CHADEMA ni ile ya mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anazidi kuwa maskini. Tafsiri halisi ya demokrasia wanayopigania ni pale kuna ulaghai wa uhuru huku wenyenacho wananunua haki na kuuziwa haki kutokana na mfumo wa rushwa na ubinafsi kutawala.

Huko nyuma wahujumu uchumi na fisadi kumekuwa na kesi tu. Kila mwananchi anajua hujuma na ufisadi lakini hakuna anayekamatwa na akikamatwa anashinda kesi hafungwi maana haki inauzwa na wanasheria na wenye nacho wananunua haki.

Ndio maana baada ya tumbuatumbua ya majipu ya kifisadi fisadi wamejaa gerezani. Ni kweli kama anavyodai lema washutumiwa wa ufisadi na ndugu na marafiki zao wana hasira na kisasi. Ila si kama anavyotumaini Lema eti 'regime' hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi.

Kina Lema wajue Watanzania walifunzwa na Baba wa Taifa kudai haki na kupinga unyonyaji ndio maana Mwalimu Nyerere akaita chama alichokiongoza mwenyewe Chama cha Mapinduzi. CCM sio chama cha kiliberali kama CHADEMA kwa sababu kinapigania demokrasia na kupinga unyonyaji wa tabaka moja kulinyonya tabaka lingine.

Ningemshauri Lema atafakari badala ya kuwatisha watendaji na viongozi wa awamu ya tano kupitia kitisho kwa DPP. Ajue hakuna kurudi nyuma, mapinduzi ya uchumi Tanzania yataenda kwa kasi na kumfadisha kila raia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbav

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
MATAGA hamuwezi kuuelewa ujumbe wa Lema but majority ya Watanzania wanamuelewa sana Lema.

na sababu ya huu uzwazwa wa MATAGA ni hii.... kwamba unachokiita "mapinduzi ya kiuchumi kumfaidisha 'kila raia'" kiukweli manufaa wanayoyapata ni wale wenye upendeleo maalumu chini ya awamu hii (kanda maalumu na MATAGA wakiongozwa na "think-tanks" Bashite & Musiba).
 
Binafsi ningesema simuogopi DPP nisingejificha ila umeona au umesikia sehemu yoyote nimesema simuogopi DPP?

Kamanda mfu ameshindwa kusimama kwenye misimamo.
Amuogopi Kwa Hoja,kumbuka hao Jamaa Bila polisi ni sawa Na bua
 
Penye ukweli uongo hujitenga. Waliowengi nchini wameujua ukweli. Insha ndeefu ni nzuri iwapo itapendwa na "mwalimu" lakini ni mbaya kwa waliowengi kama imejaa uzandiki na inafinyanga ukweli ulio wazi.
VIJANA WA BUKU 7, hapo kaingiza siku, anarudi zake nyumba ya uridhi huko mwananyamala, siku imepita
 
Kwa hekima na busara DPP hatakiwi kuongea mambo yale mbele ya Press. Mambo yake yanatakiwa yaende kimya kimya.
 
Mleta mada umeshindwa kuleta mada yakushirikisha maoni ya wengine, umeleta mada hii ukiwa tayari una maamuzi yako kichwani kwa hiyo unakuja kutuambia ulicho nacho kichwani au unavyoamini. Asante tumekusikia.
 
Siasa anazofanya Lema, Mbunge wa Arusha kwa hakika ni za kijambazi. Katika clip ya video aliyorekodi punde utaona si anamtishia amani DPP tu bali viongozi wote wa awamu ya tano.

Wenye ufahamu wanajua aina ya uongozi wa nchi wanayopigania CHADEMA ni ile ya mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anazidi kuwa maskini. Tafsiri halisi ya demokrasia wanayopigania ni pale kuna ulaghai wa uhuru huku wenyenacho wananunua haki na kuuziwa haki kutokana na mfumo wa rushwa na ubinafsi kutawala.

Huko nyuma wahujumu uchumi na fisadi kumekuwa na kesi tu. Kila mwananchi anajua hujuma na ufisadi lakini hakuna anayekamatwa na akikamatwa anashinda kesi hafungwi maana haki inauzwa na wanasheria na wenye nacho wananunua haki.

Ndio maana baada ya tumbuatumbua ya majipu ya kifisadi fisadi wamejaa gerezani. Ni kweli kama anavyodai lema washutumiwa wa ufisadi na ndugu na marafiki zao wana hasira na kisasi. Ila si kama anavyotumaini Lema eti 'regime' hii itapita fisadi watarudi ulingoni na kulipa kisasi.

Kina Lema wajue Watanzania walifunzwa na Baba wa Taifa kudai haki na kupinga unyonyaji ndio maana Mwalimu Nyerere akaita chama alichokiongoza mwenyewe Chama cha Mapinduzi. CCM sio chama cha kiliberali kama CHADEMA kwa sababu kinapigania demokrasia na kupinga unyonyaji wa tabaka moja kulinyonya tabaka lingine.

Ningemshauri Lema atafakari badala ya kuwatisha watendaji na viongozi wa awamu ya tano kupitia kitisho kwa DPP. Ajue hakuna kurudi nyuma, mapinduzi ya uchumi Tanzania yataenda kwa kasi na kumfadisha kila raia.
HAIITAJI MTOTO WA LASABA KUIKUJIBU HAYAAA KIFUPI
WACHA WAFU WAZIKE WAFUWAOO
 
Ofisi ya DPP waislam huku mtaani waliita KIGANGO, sawa na baraza la mitihani. Jina hili limetokana na kesi za UGAIDI zinazoendelea zote kuwahusisha waislam pekee bali kesi zote shahidi haujakamilika. Kwa tafsiri ya wengi ktk waislam (public opinion) ni kama kwamba kuna Uonevu wa kidini kwa kutumia mgongo wa Usekula.

Waislam wana hasira na ccm, Hata hivyo hadi sasa hawajaona mbadala baada ya CUF kusambaratika.

Waislam huku mtaani wanahitaji chama kitakachojua kilio chao,

Chama chochote kitakachotambua kile kilicho mioyoni mwa waislam Naamini chama hicho kitachukua nchi hata kwa tume ya uchaguzi hii hii.

Hata hivyo kwa kuwa nchi hii ni ya kisekula, na Sheria ya usekula haihitaji kushawishi watu kwa kutumia ukabila kama alivyofanya Gwajima, wala dini...... Njia iliyobaki ni kuwashawishi kwa kuwaelimisha watanzania kuwa tatizo letu ni Usekula.

Kikitokea chama chenye Sera zenye kupingana na usekula naamini chama hicho kitakuwa ni kimbilio la wengi. Na mbadala ya Secular State upon ni Diversity State.

Yes, you can fool some ppl sometime but u can't fool all the ppl all the time.
Diversity ni hali ya nchi kutambua dini makabila na kuyashirikisha ktk uendeshaji wa nchi. Sio kama sasa usekula anapotokea kiongozi kichaa, huamua kuchagua watu wa kanda yake tu, sababu hii nchi ni ya kisekula..

Huko ni kwenda kinyume na usekula Bali watu wabaya hutumia Sheria hii kuuficha uovu wao, na suluhisho ni Diversity. MF marekani chama cha rep kinasera za kuwavutia wenye dini. Na dem kina Sera za kuvutia machoko. Hivyo vyama vinaruhusiwa kwenda hadi misikitini na makanisani na kuwashawishi waumini mkituchagua sisi tutaondoa sheria ya kibaguzi ya kigaidi, tutaondoa sheria za kuwakamaka watu kabla ushahidi haujakamilika, tutaruhusu askari wakike wawe na uniform maalumu zinazokidhi mahitaji ya dini, wafanyakazi wa umma ruhusa kuwa na ndevu, mafisadi wakatwe mikono, wazinifu wapigwe mawe. Lkn itawahusu wa dini yenu pekee.

Wengine wanakwenda cha jumuia ya machoko na kuwashawishi, ndoa ya machoko wataruhusu, kuvaa vichupi mtaani itaruhusiwa, marufuku kuoana hadi mtimize miaka 30 nk. Hii ndio diversity.

Je, Demokrasia yetu imekomaa kufikia hali hii. Je kuna chama mbadala kinaweza kujipambanua namna hii......?!?!?
 
Back
Top Bottom