Lekchara Ofisini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lekchara Ofisini

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Yo Yo, Oct 4, 2008.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Huyu hata JF haioni....unategema nini mafundisho yake kwa wanafunzi wake.Sana sana atawakaririsha vitabu vya zama na zama.
  [​IMG]

  Anasema
  Muonekano wa ofisi tu ni choka mbaya.....
   

  Attached Files:

 2. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Picha haionekani anyway so the message is BUBU kind of.
   
 3. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,187
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli. Hata dalili za ka-desk top ka kizamani hakuna sasa hiyo net itakuwaje? Lecturers wetu inabidi wabadilike na kuendana na utandawazi unless otherwise tutaendelea kuwa wasindikizaji tu!
   
Loading...