Legacy ya Samia Suluhu Hassan ni ipi?

Legacy ya Samia Suluhu Hassan ni ipi?

Dokta Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2022
Posts
1,370
Reaction score
3,154
Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?

Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?

Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.

Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.

Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.

Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.

Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.

Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.

Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.

Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.

Mimi sijaona.
 
kama huoni alivyofanya basi unamatatizo kumkichwa
hizi ndio akili za hovyo tunazozisema kwaiyo unataka alipoingia tu aanze mambo yake mapya hapohapo?

Rais anaendeleza miradi yote iliyokuwepo hakuna mradi uliosimama, ndege kaendelea kununua elimu bure kaongeza hadi shule za advance, mishahara kaongeza, ajira katoa zaidi ya 50K ndani ya mwaka mmoja

sasa unataka nini dogo?
 
Unafahamu mbio za kupokezana vijiti? Kama unafahamu yeye amepokea kijiti kutoka kwa chizi. Ugumu anaokutana nao na kuutatua ndiyo mafanikio yake.
 
Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?

Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?

Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.

Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.

Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.

Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.

Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.

Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.

Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.

Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.

Mimi sijaona.
We hufanyi kazi yoyote zaidi ya kudanga,utaonaje alichokifanya Rais au serikali??! Sisi wafanyabiashara sasaivi hatusumbuliwi na TRA Wala kuchota pesa kwenye account zetu Kama kipindi Cha bwana yule, wafanyakazi wameboreshewa maslai yao
 
kama huoni alivyofanya basi unamatatizo kumkichwa
hizi ndio akili za hovyo tunazozisema kwaiyo unataka alipoingia tu aanze mambo yake mapya hapohapo?

Rais anaendeleza miradi yote iliyokuwepo hakuna mradi uliosimama, ndege kaendelea kununua elimu bure kaongeza hadi shule za advance, mishahara kaongeza, ajira katoa zaidi ya 50K ndani ya mwaka mmoja

sasa unataka nini dogo?
Achana na huyo kahaba
 
Huyu hata sifa za kua mkuu wa kata hakuna nazo ghafla amekua rais wa nchi unategemea nini?

Bidhaa hazishikiki bei. Misukule yake inachofanya ni kuhamisha goli, focus shifting ili watu wasijadili ushaifu wa serikali ya awamu ya 6 ambao haujawahi kutokea toka tumepata uhuru, wao ni kumshambulia marehemu Magufuli.

Uzuri wa namba za kiuchumi hua hazidanganyi, yaani kama huelewi kanuni za kiuchumi itajidhihirisha tu.

Legacy yake ya kwanza ni kihamasisha rushwa kwa mawaziri wake hadharani, kuhamasisha vitu kupanda bei hadharani.

Tanzania ina changamoto nyingi sana. Nchi inaweza kupiga hatua moja mbele halafu ikarudi hatua 200 nyuma.

Na hii trend ya kurudi nyuma hatua 200 inatokea kwa viongozi wa imani flani.

Changamoto kubwa sana
 
Back
Top Bottom