Legacy ya Samia Suluhu Hassan ni ipi?

Legacy ya Samia Suluhu Hassan ni ipi?

Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?

Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?

Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.

Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.

Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.

Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.

Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.

Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.

Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.

Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.

Mimi sijaona.
.mipasho na kuongea kma chiriku
 
Mpumbavu daima huwazia tumbo lake.
Ulitaka niwazie tumbo la baba ako?

Watu wanahitaji huduma za jamii zenye bei nafuu, uchumi jumuishi, punguzo la makali ya bidhaa... na sio hayo makaratasi ya katiba mnayotumia kugawana vyeo.
 
watu wameacha kutishwa, kuteswa na kupotea potea kwa kiwango kikubwa. ingawa bado njaa ya mifukoni ipo ila tuna amani rohoni walau mtu una uhakika kwamba utaamka kwenda kwenye mihangaiko yako na kurudi nyumbani salama.
 
Ngoja Niongeze nyama Ili nikukere zaidi...

6.Ameweka anuani za makazi Nchi nzima,siku ukizeeka utasema ni Samia alifanya,ukipata kesi utajizamani.kwa sababu unatambulika.

7.Ameanza utaratibu wa kuwalipa jasho lao wafungwa Pindi wakimaliza vifungo vyao..Jela ni chuo sio Kambi za mateso kama yule mtu wenu alivyokuwa anafanya..Jasho lao lazima wafaidike nalo.

8.Atakuwa Rais wa kwanza kufikosha watalii mil.5 come 2025,Na Royal tour itaacha alama miaka na mikaka..

Kama hujarudhika uniambie niendelee kukukera..
Bei ya Petrol Zanzibar ni sh ngapi na Bei za Bara ni kiasi Gani?

Kwann Nchi yenye watu Zaid ya mil50 ikope halafu igawane sawa mkopo na Nchi yenye watu ml2?

Kwann Bei za mbolea zimepanda Kwa 400% Kutoka march 2021 Hadi July 2022?
 
Kaulize unamuuliza nani?
 
Ngoja Niongeze nyama Ili nikukere zaidi...

6.Ameweka anuani za makazi Nchi nzima,siku ukizeeka utasema ni Samia alifanya,ukipata kesi utajizamani.kwa sababu unatambulika.

7.Ameanza utaratibu wa kuwalipa jasho lao wafungwa Pindi wakimaliza vifungo vyao..Jela ni chuo sio Kambi za mateso kama yule mtu wenu alivyokuwa anafanya..Jasho lao lazima wafaidike nalo.

8.Atakuwa Rais wa kwanza kufikosha watalii mil.5 come 2025,Na Royal tour itaacha alama miaka na mikaka..

Kama hujarudhika uniambie niendelee kukukera..
Kwann hawafukuzi KAZI Makamba, Mwigulu ktk UWAZIRI?

Kwann anapuuza sauti ya wengi?
 
watu wameacha kutishwa, kuteswa na kupotea potea kwa kiwango kikubwa. ingawa bado njaa ya mifukoni ipo ila tuna amani rohoni walau mtu una uhakika kwamba utaamka kwenda kwenye mihangaiko yako na kurudi nyumbani salama.
Kama vitisho vimeisha, iweje NDUGAI aondolewe Kwa HILA aliposema Kweli?

Mfano ruzuku ya Bil 100 ya Kila mwezi imepunguza mfumuko wa Bei Kwa kiasi Gani?
 
Unafahamu mbio za kupokezana vijiti? Kama unafahamu yeye amepokea kijiti kutoka kwa chizi. Ugumu anaokutana nao na kuutatua ndiyo mafanikio yake.
Huyo Chizi ndie tunaemuenzi sisi!

Huyu mlamba asali wenu anawafurahisha nyinyi wenye nacho ikiwemo na vyeti fake!
 
Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?

Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?

Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.

Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.

Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.

Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.

Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.

Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.

Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.

Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.

Mimi sijaona.

Hii vita ya Urusi na ile hali ilivyokuwa mbaya chini ya Jiwe, Tungepotea kabisa.

Vitu vipo juu na watu wananua power ya demand and supply hiyo uchumi upo safi.
 
Wengi kama nani? Kenge kama wewe au?

Awafukuze Kazi Kwa sababu zipi?

.mipasho na kuongea kma chiriku
Nitakuwa wa kwanza KUSIFIA ikiwa yafuatayo yatatimia ktk Nchi yangu TANZANIA.

1. Tanzania itakapozikopesha Nchi maskini Africa na mabara mengine.

2. Viongozi watakapobadili fikra na Kuitazama Kwa UTAJIRI ilionao, maana ni TAJIRI no 2. Africa nzima Kwa kubarikiwa raslimali.

3. Mawaziri wasitokane na wabunge.

4. Wataalamu walipwe zaidi kuliko wanasiasa kuzuia wataalamu kuacha profession zao.

5. Tutakapokuwa namba 1 ktk uzalishaji wa chakula Africa, kilimo Cha kisasa Kwa mapato ya ndani.

6. Dhahabu na madini mengine Nchi itafute Wawekezaji wa ndani na nje, tuwalipe 20% na tubakie na 80% sababu sie ndo wenye Mali.

7. Tutakapofanikiwa kurudisha PESA zote zilizotoroshwa na wezi ktk mabenki ya nje.
 
Kama vitisho vimeisha, iweje NDUGAI aondolewe Kwa HILA aliposema Kweli?

Mfano ruzuku ya Bil 100 ya Kila mwezi imepunguza mfumuko wa Bei Kwa kiasi Gani?
Ndugai alikuwa anautest utemi aliouasisi babake kama bado upo na unafanya kazi, karushwa kama samaki aliyemeza chambo cha wenyewe dadadeq.
 
tuna rais wa hovyo wa kwanza na wa mwisho kutokea duniani,
mungu atusaidie tu tuvuke salama
Wenzio wanakamatia fursa,we unakamatia ujinga,unataka Rais akujaze pesa mfukoni
 
Back
Top Bottom