Legacy ya Samia Suluhu Hassan ni ipi?

Legacy ya Samia Suluhu Hassan ni ipi?

Unamaanisha majizi siku hizi hamsumbuliwi na TRA?
We umasikini unakusumbua, unahisi na mlivyokalilishwa na jiwe kwamba mtu kuwa masikini ndio uzalendo, na matajiri wote majizi,

Subiri upewe nishani ya kuwa masikini mzalendo,
Jiwe ameharibu Sana mentality yenu nyie majinga
 
tuna rais wa hovyo wa kwanza na wa mwisho kutokea duniani,
mungu atusaidie tu tuvuke salama
We kazi kufanya utaki unauza mak''alio yako, Utamuonaje Rais anafaa au serikali inafaa,

Jinga kabisa
 
Tutakumbuka tu kuna miaka fulani maisha yalitupeleka Mvomero Kuchumba Chima yani heri ungezaliwa enzi za ujima
 
Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?

Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?

Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.

Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.

Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.

Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.

Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.

Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.

Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.

Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.

Mimi sijaona.
Wewe tuambie umeona mangapi na yapi Bado hujayaona🤔
 
kama huoni alivyofanya basi unamatatizo kumkichwa
hizi ndio akili za hovyo tunazozisema kwaiyo unataka alipoingia tu aanze mambo yake mapya hapohapo?

Rais anaendeleza miradi yote iliyokuwepo hakuna mradi uliosimama, ndege kaendelea kununua elimu bure kaongeza hadi shule za advance, mishahara kaongeza, ajira katoa zaidi ya 50K ndani ya mwaka mmoja

sasa unataka nini dogo?
Ona huyu MPUMBAVU umeulizwa ipi ni Legacy yake haujaulizwa mwendelezo wa legacy ya mwingine. Hayo mambo mengine yalishakuwepo tokea awamu zingine
 
We hufanyi kazi yoyote zaidi ya kudanga,utaonaje alichokifanya Rais au serikali??! Sisi wafanyabiashara sasaivi hatusumbuliwi na TRA Wala kuchota pesa kwenye account zetu Kama kipindi Cha bwana yule, wafanyakazi wameboreshewa maslai yao
Unazungumzia wafanyabiashara hawa wanaodunduliza kufungua vi MPesa alafu wanatozwa tozo za hovyo hovyo? Au unadhani watanzania wote ni wafanyabiashara?
 
Kwani kamaliza muda Wake? Kwanza anachotakiwa kufanya ni kumaliza miradi ya JPM halafu akipewa nchi kwa kura aje na ya kwake. Miradi imesimama? Kama haijasimama mengine yote ni porojo.
 
Legacy is mostly made by dead people. Ila sasa we have a chance to create our own legacy while we are alive. Why did I say legacy is made by the dead? Kwa sababu these ideas, creation, innovation etc will last for generations to come. .

So far I havent seen the difference ila mda utampa nafasi ya kuleta mabadiliko yatakayokumbkwa vizazi na vizazi. Soon to tell. .
 
LEGACY ya huyu mtu Mimi nina hakika ukiweza kukamata vile vindege vinavyoitwa MBAYU WAYU Huku IRiNGA tuna viita ViLAMBA MVUA ukiviuliza legacy ya mama SSH vitakwambia Leo tulikuwa nae SENEGAL, mara , OMAN, DUBAI, UAE, UBELGIJI, PARIS, USA, shida tu vindege hivi havikamatiki kwa manati au mtego havili pumba ila nikujirusha juu kwa juu na ukibahatika kuonana na kimbayuwayu Cha kienyeji kitakwambia legacy ya mama yenu SSH tulipishana na sauti yake alivyopiga simu kwenye mkutano wa viongozi wa dini hapa Mbeya, tulipishana na sauti yake kwemye mlima Inyala.
 
Back
Top Bottom