Legacy: Dreamliner za ATCL zipewe jina la Magufuli

Na vyuo vyote vya serikali, ukiondoa UDOM, navyo viitwe Nyerere Universities'!!
 
Kwa namna nilivyoona wazanzibar walivyojitokeza kwa wingi na bendera za vyama vyao yaani CCM, Chadema, Cuf, Nccr na ACT wazalendo katika mapokezi ya ndege mbili aina ya Air Bus kiukweli hayati Magufuli alifanya kazi kubwa sana.

Ili kumuenzi napendeza ile Dreamliner ibatizwe jina la Magufuli.

Maendeleo hayana vyama!
Mie nashauri Badala ya Nchi kuitwa TANZANIA iitwe Magufuli
 
Yeye mwenyewe hakupenda sana vitu viitwe majina yake....kazi za Hayati zinajieleza na zitajieleza bila kupiga zumari.
 
kisu kimegonga mfupa , walioleta matatizo hawawezi kupewa heshima yoyote

Saikolojia inasema ukiona mtu anamsema/kugombana na mtu ambae hayupo hata afanyeje hawez kukutana naye Basi huyu mtu anaupungufu wa akili na Kamahuyo mtu yupo timamu Basi huyo anaesemwa ameacha alama kubwa ambayo haitafutika kamwe kwenye ulimwengu wao.

Rest in piece John Pombe Magufuli ulipata muda mfupi kuionyesha dunia kuwa kila mtu anaweza kufanya kwa nafasi yake na likawa bila kutegemea.

Wewe mzima unapumua unashindana na marehemu kweli?
 
Kwa namna nilivyoona wazanzibar walivyojitokeza kwa wingi na bendera za vyama vyao yaani CCM, Chadema, Cuf, Nccr na ACT wazalendo katika mapokezi ya ndege mbili aina ya Air Bus kiukweli hayati Magufuli alifanya kazi kubwa sana.

Ili kumuenzi napendeza ile Dreamliner ibatizwe jina la Magufuli.

Maendeleo hayana vyama!
Kamfufue uzikwe wewe! Amepewa majina ya vitu vingapi?
Hovyooooo
 
Kwaya yetu pendwa ya praise and worship leo wapo JF wakitumbuiza 😊
 
Kwa namna nilivyoona wazanzibar walivyojitokeza kwa wingi na bendera za vyama vyao yaani CCM, Chadema, Cuf, Nccr na ACT wazalendo katika mapokezi ya ndege mbili aina ya Air Bus kiukweli hayati Magufuli alifanya kazi kubwa sana.

Ili kumuenzi napendeza ile Dreamliner ibatizwe jina la Magufuli.

Maendeleo hayana vyama!
Weka picha za Wazanzibar wenye bendera ya chadema uwanjani Karume Airport
 
Ndo pale ninapoona Tanzania tuna miaka maelfu ya kuweza kupiga hatua! Sisi inawezekana ndo the most primitive people in the world!
Tembea duniani uone primitive peoples, specially Africa
 
Hata zisipoitwa Magufuli, Watanzania tutakapokuwa tunazipanda na kuziona angani tutakuwa tunajua ni kazi ya JPM!
 
Kwa namna nilivyoona wazanzibar walivyojitokeza kwa wingi na bendera za vyama vyao yaani CCM, Chadema, Cuf, Nccr na ACT wazalendo katika mapokezi ya ndege mbili aina ya Air Bus kiukweli hayati Magufuli alifanya kazi kubwa sana.

Ili kumuenzi napendeza ile Dreamliner ibatizwe jina la Magufuli.

Maendeleo hayana vyama!
Ok saw mkolomije 🙌
 
Mashirika makubwa ya Ndege yanapumulia mashine sisi hizi hela za Kodi zinatumika vibaya.
 
Kwa namna nilivyoona wazanzibar walivyojitokeza kwa wingi na bendera za vyama vyao yaani CCM, Chadema, Cuf, Nccr na ACT wazalendo katika mapokezi ya ndege mbili aina ya Air Bus kiukweli hayati Magufuli alifanya kazi kubwa sana.

Ili kumuenzi napendeza ile Dreamliner ibatizwe jina la Magufuli.

Maendeleo hayana vyama!
Naunga mkono hoja.
P
 
Huu ni ushamba

Back
Top Bottom