Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
Aliacha pesa za kunijulia hizo ndege?Kwa namna nilivyoona wazanzibar walivyojitokeza kwa wingi na bendera za vyama vyao yaani CCM, Chadema, Cuf, Nccr na ACT wazalendo katika mapokezi ya ndege mbili aina ya Air Bus kiukweli hayati Magufuli alifanya kazi kubwa sana.
Ili kumuenzi napendeza ile Dreamliner ibatizwe jina la Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!