miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
- Thread starter
-
- #101
Safi sana mdogo wangu....
Hakuna thamani kubwa kwa mwanadamu tena wa kike kama kupigania haki ya kutodhalilishwa....
Kwa kufanya hayo, umejitendea haki wewe na kikazi chako, bila kujali kwamba wanaokuzunguka ni wadau au washiriki wa udhalishaji huo..
Hata ukihisi kuwa umeshindwa, mie nasema kuwa tayari umeshinda kwa kiwango kikubwa.
Kazi buti umalizie hiyo ngwe..
Mungu akubariki na kukusimamia...
Babu DC!!
Go, go.........go on Miss Strong!Ukombozi wa jambo lolote lazima ufanye kazi.Tukiogopa kazi hatuwez kupata kazi.
Go, go.........go on Miss Strong!
aisss kumbe kuna vitu vingi vilisababisha kumnyima!!!Niliogopa kujikuta hata kumtia ukucha coz nilishapata tetes kuwa afya yake wanaitilia shaka kwahyo nilikuwa najihami sana.Kwahiyo sikuweza kufanikiwa.
aisss kumbe kuna vitu vingi vilisababisha kumnyima!!!
Hongera kwa maamuzi mazuri ya kulala mbele na huyu mbakaji mpaka kieleweke, labda mamuzi ya kisheria yatakayochukuliwa dhidi ya huyu mbakaji yatapunguza kwa kiwango kikubwa au kuondoa kabisa tabia hii ya kuwadhalilisha Wanawake katika vyuo vingi nchini.
mdogo wangu kwanza nikupe hongera kwa ujasiri ulionao.ila binafsi naona kwa upande fulan isije ikaonekana na wewe una makosa mfano.
(i)unaenda ofisi ya lecture wa kiume ukiwa umevaa skin tight kweli??? na hatujui shepu yako ikoje huon kama tamaa ya lecture kutaka sex kwa nguvu labda muonekano wako hiyo cku au siku zote especially mavaz u look as if m*a*l*ya??
(ii)ninachojua mimi kama muonekano wako ni mwanamke anayejiheshim na mwenye msimamo kuanzia mavazi hata sura inajionesha dhahiri huyo lecture angeanzia wapi kumvamia tu?
(iii) naomba kujua maongez yenu cku zote ulizokuwa unamrekodi kwa aliyokuwa anakuambia example kukutongoza majibu yako yalikuwaje.kumbuka we c mtoto under 18 na cku za mwanzo alizokuwa anakueleza utumbo na we kumrekodi kwa nn usingetumia hivyo vigezo at the beginning kutoa taarifa kwa dean wa facult akusaidie kurekebisha hiyo course work?
(iv)na kama wengi wamekuchukia kwa kitendo ulichofanya yupo hata 1wa kukusaport kuonyesha kweli lecture muhuni au ni hiyo cd na nguo?
(v)vipi tabia yako(binafsi unajijua)je maisha yako hapo chuo ni bint uliyetulia na kujiheshim au ndo wale wale ambao labda umemuhofu tu lecture kwa maneno kwamba huenda anao tofauti na hapo angekula mzigo?
ila all in all hongera kwa ujasiri lakin hakikisha unashinda hilo na usikae kujua tu cd itakusaidia jitahid kupata vielelezo vingine vya kushinda hilo.
Utayaweza mambo yote ktk yeye akutiaye nguvu miss strong.. Go go o oooooo lady.. Ukomeshe hao mabazaz na virus vyao vya ukimwi mtchwwwwwwwiiiiiiiii!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwa kuwa sasa umelifikisha kwenye utawala inabidi vilevile uwape na timeline. Hii ni kwa sababu wanaweza wakakuchezea kesi yako ikachukua muda mrefu na kwa hiyo ikakosa maana. Kama hujawapatia huo ushahidi (kama nguo zilizochanwa) ni vizuri ukakaa nazo kwa sababu wao hawana utaalamu wa kufanya vipimo. Ni vizuri kuutoa wakati utakapofika ukahakikishiwa kwamba unakwenda mikononi mwa polisi.
Si busara kutaja chuo kwa ss ila pale itakapobidi nitataja tuu.
kitatwaja muda ukifika tuwe wavumilivu
Hongera and keep it up dear.