miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
- Thread starter
-
- #21
Sina uhakika na usahihi wa njia unayoitumia kutatua tatizo hili, linaweza kukuleta matatizo zaidi kuliko kutatua. Nadhani kungekuwepo na njia bora zaidi ya kushughulikia swala hili, kila la heri lakini.
Naono umeamua kunimaliza nisamehe basiiiiiiiiii
Congrats bidada..
Go on and don't give up the fight.
Pole na hongera kwa ujasiri.
Take care !
Sina uhakika na usahihi wa njia unayoitumia kutatua tatizo hili, linaweza kukuleta matatizo zaidi kuliko kutatua. Nadhani kungekuwepo na njia bora zaidi ya kushughulikia swala hili, kila la heri lakini.
Hongera sana miss strong kwa hatua hizi! Hakikisha unatengeneza cd za kutosha kabisa kama ushahidi na original ilinde sana na katika hili usimuamini mtu hasa hao wanafunzi wenzio mpaka utakapo ona mambo yamekwenda sawa! Bila shaka kwenye barua yako ulimwambia mkuu wako wa chuo kuwa umeona uanzie kwake kabla ya kwenda kwenye asasi za kiraia! Na katika hili usimame kweli uhakikishe hizo siku alizo kuahidi kufanyia kazi hili swala ana timiza ahadi yake lasivyo unakwenda mbele zaidi(TGNP,TAWLA). Hakuna haja ya kutaja chuo kwa sasa hila uhakikishe alicho kiahidi ana kitekeleza na uweke distance na huyo mwalimu, maana anaweza kutumia wanafunzi wenzio kukupeleleza!
All da best
ungetoa njia nzur yakutatua ingekuwa umenishaur kuliko kusema tatizo alafu uvumbuz wa tatizo husemi.
Kama ipi mkuu wangu unayodhani kwa ugumu wake na katika nafasi yake ktk vyuo vyetu na hii Tanzania yetu?
Anyway, so far amejitahidi sana kwa mazingira ya vyuo yalivyo.
kwa kuwa umeshaamua kutumia njia hiyo endelea nayo lakini nadhani ingekua safi zaidi na kwaajili ya usalama wako kama ungepata ushauri wa kisheria kwanza. Ili ushauriwe jinsi ya kushughulikia hiyo jinai.
Asante ndugu...........Mambo n magumu kweli kwel lkn Mungu anaweza akafanya kitu
Ile juz ulisema alitaka kukubaka akakuchania nguo. Leo unasema umeambiwa nguo usizifue. Ina maana aliziachia uchafu?
Ile juz ulisema alitaka kukubaka akakuchania nguo. Leo unasema umeambiwa nguo usizifue. Ina maana aliziachia uchafu?
Pole sana, Haki ina garama sana kuililia na utaonekana wa ajabu sana kwa wanaoendekeza uovu, Mungu atakuinulia watu na watasimama na wewe kwa namna yoyote iwayo. tegemea vitisho vingi sana kutoka kwake na watu wake na wa-aina yake. ''uovu una mashabiki wengi kuliko haki''
Sperm?Mimi si mtaalamu sana wa swala hili,nguo sikufua tu bila kujua km wangezihitaj zikiwa chafu o kuna kitu wanataka kuangalia.Uchafu gn labda unaomaanisha!!!!!!!!!!!!!!1
Sperm?