Lecturer na story za kutunga a.k.a chai

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Katikati ya lecture jamaa akaanza kuuza chai, "enzi hizo nipo kijijini nilikuwa nakimbia balaa, kuna siku nilimkimbiza swala mpaka nikamkamata..." kabla hajamalizia simu yake iliita na akaenda kuongelea nje, aliporudi akawauliza wanafunzi niliishia wapi? Wakamwambia pale ulipomkamata.. Akaendelea..." nilipomkamata nikaanza kumdunda mangumi, nikamwambia unalipa au hulipi hela yangu..."
 
  • Thanks
Reactions: mja
hahahah!! Huyu ndio lecturer wa ukweli.. Sio mwanzo wa pindi hadi mwisho anawahadithia tu vitu ambavyo vishaandikwa kwenye vitabu.kila mtu anaweza kusoma
 
Safi saana,kuna thread moja inaendana kidogo na hii,ilikuwa inaitwa'mwongo akihadithia'.....nikamfukuza yule swala,nikamkamata na kisha nikamlaza chini,(mara akapigiwa simu).Aliporudi,akauliza,eenh nilishia wapi,akajibiwa,'pale ulipomlaza'....basi bwana,nikamvua nguo kisha nikaanza kumla mate!
 
aaah aaah hyo kali, swala analiwa mate!!
 
Katikati ya lecture jamaa akaanza kuuza chai, "enzi hizo nipo kijijini nilikuwa nakimbia balaa, kuna siku nilimkimbiza swala mpaka nikamkamata..." kabla hajamalizia simu yake iliita na akaenda kuongelea nje, aliporudi akawauliza wanafunzi niliishia wapi? Wakamwambia pale ulipomkamata.. Akaendelea..." nilipomkamata nikaanza kumdunda mangumi, nikamwambia unalipa au hulipi hela yangu..."
jamani saa zingine muwe mnatulia basi, jokes zingine mutafanya mbavu ziume sana...
 
Katikati ya lecture jamaa akaanza kuuza chai, "enzi hizo nipo kijijini nilikuwa nakimbia balaa, kuna siku nilimkimbiza swala mpaka nikamkamata..." kabla hajamalizia simu yake iliita na akaenda kuongelea nje, aliporudi akawauliza wanafunzi niliishia wapi? Wakamwambia pale ulipomkamata.. Akaendelea..." nilipomkamata nikaanza kumdunda mangumi, nikamwambia unalipa au hulipi hela yangu..."
Hiii chai ya udsm walahi kama sio Dr.Rwaitamba bac atakua ni Prof mshoro wa Ardhi aliyekua Udsm enzi zileeeeeeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom