miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Ni kweli, ndio maana anatakiwa kwenda taratibu sana. Maana akishindwa kutetea tuhuma basi na chuo wanammalizia kabisa, future inavurugwa
Hakuna kitu kama hicho wewe usidanganyike. Mwambie mpenzi wako asome na awe makini na assignments zake zote. Afanye assignemnts zote na aweke vizuri matokeo kwa ushahidi. Kuandikiwa INCOMPLETE ina maana hajafikia marks za kumwezesha kuPASS ambazo hujumlisha assignments za darasani i.e. take home assignments, group/individual assignments, tests pamoja na UE. Akiwa amefaulu assignments kiasi cha kuruhusiwa kufanya UE huyo Lecturer hawezimwandikia INCOMPLETE. Na hata aiamua kumfelisha wapo wanaopitia matokeo kabla hayajatolewa.
Sio ustaw wala nini.....!nina kesi huko na lecturer wangu alitaka kunidinya mie.Wanapenda mizigo kama nini,unaweza hata kushikishwa ukuta.
INCOMPLETE maana yake siyo kufeli: Maana yake ni kuwa kati ya assignments zote, kuna mojawapo au baadhi hajafanya. Na hivyo hata kama amefikisha maksi za CW kwa assignments mbili, kama ya tatu hakufanya basi NI INCOMPLETE na hataruhusiwa kufanya UE
Shitt!!!pole hope things went well in court......dah hope akupata kitu.
Hakupata na hatapata.....!everythng gonna b aryt in jesus name.
A Big Amen to That!!!!!t sound gud,ur JF name reflect tht character......bt I thnk ivyo ni vijtabia vya watu,kuna kipndi nilifundsha chuo X, na mabinti walikua wao ndio wanataka niwamege ili kitabu kwao kiwe mteremko bt NILIFUNGA ZIP VIZURI, hadi naacha kazi hapo chuoni.
hebu fanya hivi @ binamutz
weka jina la chuo,idara na course anayofundisha huyo mwalimu hapa
ukimwi na sembe vitushinde,hata unyanyasaji wa kijinsia nao??????( kamakweli)
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana
lecture?
Hahahaha umenifurahisha aisee. Lecture banaa
Hakuna kitu kama hicho wewe usidanganyike. Mwambie mpenzi wako asome na awe makini na assignments zake zote. Afanye assignemnts zote na aweke vizuri matokeo kwa ushahidi. Kuandikiwa INCOMPLETE ina maana hajafikia marks za kumwezesha kuPASS ambazo hujumlisha assignments za darasani i.e. take home assignments, group/individual assignments, tests pamoja na UE. Akiwa amefaulu assignments kiasi cha kuruhusiwa kufanya UE huyo Lecturer hawezimwandikia INCOMPLETE. Na hata aiamua kumfelisha wapo wanaopitia matokeo kabla hayajatolewa.
mwambie a-perform vizuri kuliko kawaida. Lecturer hatajua pa kuanzia kum-disco. Akionewa apeleke malalamiko kwenye vyombo vinavyohusika.
a big amen to that!!!!!t sound gud,ur jf name reflect tht character......bt i thnk ivyo ni vijtabia vya watu,kuna kipndi nilifundsha chuo x, na mabinti walikua wao ndio wanataka niwamege ili kitabu kwao kiwe mteremko bt nilifunga zip vizuri, hadi naacha kazi hapo chuoni.
yani ukijipindua kidogo inakula kwako.....!alafu kuwakamata hao ufanye kazi kweli kwakuwa ni tabia zao,wanajua mbinu zote.siku moja nao waliwe kabaang tu maana wengine wanataka kuwapakaza ----- ----- watoto wa watu.
hongera mkuu mr wise hope mungu atakupa maisha marefu na matamu wahadhiri wenye moyo kama wako ni adimu xana cku hz