miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Hebu fanya hivi @ binamutz
Weka jina la chuo,idara na course anayofundisha huyo mwalimu hapa
Ukimwi na Sembe vitushinde,hata unyanyasaji wa kijinsia nao??????( kamakweli)
Hebu fanya hivi @ binamutz
Weka jina la chuo,idara na course anayofundisha huyo mwalimu hapa
Ukimwi na Sembe vitushinde,hata unyanyasaji wa kijinsia nao??????( kamakweli)
Si shauri aweke jina la mwalimu ni hatari maana hakuna ushahidi wowote ambao huyo binti anao.Ni majanga jamaniiiiiiii....... binamutz
Miss strong unaniangusha..mbona hakuna sehemu nimesema aweke jina la mwalimu
consent and anonymity in relation to ethical issues are in my finger tips madam
OLESAIDIMU sikuangalia vizur mkuu unisamehe hapo.Chuo na kozi si mbaya.....nilikuwa na mtahadhalisha maana njia ambayo napitia mimi ni hatar sana,nimepelekwa mahakaman kwa upuuz kama huu.
pole mamy..ni mapito tu hayo kama unasimamia haki yako basi usipige goti mpaka tone la mwisho.
Hope una watu wa sheria unaoshughulika nao pamoja juu ya hiyo kesi.
All the best mamy
Hao watu bhana........sipendagi hata kuwasikia basi tu sina jinsi.
Cha muhimu kusoma kwa bidii na kutunza mitihan yako endapo litatokea lolote ujue jinsi yakujitetea.
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana
MKUU the boss ndo nimemwambia afanye hvo but kaniambia kuwa chuon kwao hakuna pa kushitak coz wote ndo wale wale 2
Teh teh teh.....mmmmmh miss strong, kwanini??wamewahi nin....
Hii si kweli, lazma kuna mahali anaweza kushtaki hapo chuo na wakimsumbua zaidi anaenda umoja wa wanasheria wanawake (TAWLA) watamsaidia, sexual harassmnet ni kosa sio kwa chuo tu bali hata kwa dola zilizo nje ya chuo.
Japo inabidi aende taratibu hatua kwa hatua, aanzie ndani ya chuo
Mmmmhhhhhh!baadh yao hawana adabu kabisaaa alafu wanajuana kwa tabia zao,wanakuwa kundi moja yaani ukimlipua mmoja bas tegemea nyuki hao ile mbaya.
Teh teh teh,So uliogopa nyuki uka.......
Sijawah kuwa na mahusiano wa kimapenzi na hao watu.....!ni mwiko kwangu kwakuwa wanavitabia vya kuambikizana na vichafu.Yani hata mtu aende na tabia yake nzur bas wewe mpe miez 6 tu bas utaisoma no.
Wanahisia za kimapenz maana nao ni binadamu lakin kwanini umlazimishe mtu kitu chake bhanaaaa?yani umuharibie mtu maisha kwa ajil ya Maku!!!!!"
Kwi kwi kwi kwi kwi!!!Miss strong ushanivunja mbavu naangaika kuiunga,,daaaaaah JF rahaaaaa:noidea::help:
Ndo hivyo mwaya......vijimambo vyao.Juzi kati wakat natoka zangu mahakamani nikakuta wadada wanasukumana kisa lecturer kawagonganisha magar alafu huyo lecturer mwenyewe sasa anawatumia ile mbayaaa.Wanaomjua wanasema yaan alikuja mwanakondoo hapa lakin sijui shetan kigulu gan kamuingia.Ila ya kaisari na apewe kaisari na vya Mungu apewe Mungu.
Hivi vitu vinahitaji ushahid sana......la sivyo ni hatari.
miss strong mahakamani kuna nini tena??dah I salute u bby....hao watakua wa USTAWI nin?