Leave Jesus alone!

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,002
Reaction score
72,284
Unaomba kazi ukiwa na vyeti vyote,umefaulu vizuri,Una-Qualify kabisa kupata hiyo kazi,Baada ya Interview Bosi mmoja anakufuata anakwambia Kazi Uliyoomba unaweza kuipata ila umechemka maswali ya Usaili,Ukitaka nikusaidie uipate tukutane NAMNANI HOTEL ROOM 304 kesho jioni.

Ulivyo Bolizozo na Kichwa Panzi Ukaenda ukachanua ukamegwa ,Ukasaini mkataba...UnakujaFacebook na JF unatuandikia,'YESU ASANTE WEWE UNAISHI,MUNGU WA IBRAHIM ISAKA NA YAKOBO,ASANTE MAANA WEWE NI BWANA,UMENIPA KAZI.WEWE NI EBENEZAUnamdanganya nani?

Yesu ndo alikushauri ukamegwe na bosi upewe kazi?

We andika tu ukweli,KAZI DAR NGUMU SANA ILA MWILI UNASAIDIA.Usitufanye sisi watoto wadogo eboo!Degree haijakupa kazi hapo huna tofauti na changu wa Corner Bar.

Shikamooni Rasilimali-Kiuno wote.

Leave Jesus Alone.

Jamani tu-refresh mind zetu sio kila siku kulia lia tu tokomeza TEAMkuliakulia

Nimeicopy wajameni
 
Yaonekana weye ndo ulikutana na huyo boss mwisho mwisho hivi. Alipokuja huyo mwingine baada ya weye, ukajua anapelekwa interview ile ile. Wivu ukakupata. Acha wenzio nao waliwe. Sichochei huu upuuzi lakini thread yako ina elements za kiwivu wivu hivi
 
Yaani kwa sababu wewe unautumia mwili Wako kupata utakayo, kila unaemuona kafanikiwa unahisi mwenzio? Kalaghabaho, jiamini. Woga Wako ndio umaskini wako
 
Hadi tupate katiba mpya tutapata mengi nje ya muungano kwi kwi kwiiiiiiii
 
sasa unaandika nini na umefunika kichwa kama upo msibani,bible inasema watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa,sasa unashangaa nini
 
Hivi kwani ukisema tu kuwa umeicopy kutoka kwa mtu utakatika hyo mikono? Umekuwa mvivu kuandika yako basi usiwe mvivu ku acknowledge aliyeandika article hyo.
 
Last edited by a moderator:
sasa unaandika nini na umefunika kichwa kama upo msibani,bible inasema watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa,sasa unashangaa nini

We ulitaka niandike makalio yakiwa wazi juu ndio uridhike au?
 
kwa hio Dinazarde utaenda kufanyiwa interview nyingine huko? ukifeli tena inakuwaje? hahaa!

kwa mfano, unaenda kufanya interview kwa nafasi za kazi kwa coy ya Eiyer au Kaizer.. hao ndo mabosi sasa!
 
Last edited by a moderator:
Yaani kwa sababu wewe unautumia mwili Wako kupata utakayo, kila unaemuona kafanikiwa unahisi mwenzio? Kalaghabaho, jiamini. Woga Wako ndio umaskini wako

Hiv umenielewa au? ?? Nimeitoa sehem kama ilivyo,naona umepanic!!!!!!pole
 
sasa unaandika nini na umefunika kichwa kama upo msibani,bible inasema watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa,sasa unashangaa nini

mamii mbona una hasira hivyo?

afu ujue tuliingia humu mwaka mmoja eenh! so sio vibaya tukafahamiana! eti mamii?
 
Hivi kwani ukisema tu kuwa umeicopy kutoka kwa mtu utakatika hyo mikono? Umekuwa mvivu kuandika yako basi usiwe mvivu ku acknowledge aliyeandika article hyo.

Nilisaahau bana ila nimeandika ngoja niirudie
 
babake leo umeingia cha kiume! lazima uache kitu uachiwe kitu!

Hahhha nawajua mna stress tulieni tu taratibu ndio jukwaa linachangamkaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…