Leave Jesus alone!

Leave Jesus alone!

Unaomba kazi ukiwa na vyeti
vyote...umefaulu vizuri...Una-Qualify
kabisa kupata hiyo kazi....Baada ya
Interview Bosi mmoja anakufuata
anakwambia Kazi Uliyoomba
unaweza kuipata ila umechemka
maswali ya Usaili...Ukitaka
nikusaidie uipate tukutane
NAMNANI HOTEL ROOM 304 kesho
jioni..Ulivyo Bolizozo na Kichwa
Panzi Ukaenda ukachanua
ukamegwa...Ukasaini
mkataba...UnakujaFacebook na JF
unatuandikia,'YESU ASANTE WEWE
UNAISHI,MUNGU WA IBRAHIM ISAKA
NA YAKOBO,ASANTE MAANA WEWE NI
BWANA,UMENIPA KAZI..WEWE NI
EBENEZAUnamdanganya nani??Yesu
ndo alikushauri ukamegwe na bosi
upewe kazi???We andika tu
ukweli...KAZI DAR NGUMU SANA ILA
MWILI UNASAIDIA.Usitufanye sisi
watoto wadogo eboo!Degree
haijakupa kazi hapo huna tofauti na
changu wa Corner Bar.Shkamooni
Rasilimali-Kiuno wote...Leave Jesus
Alone.

Jamani turefresh mind zetu sio kila siku kulia lia tu tokomeza TEAMkuliakulia
Nimeicopy wajameni

kuna mambo mengi tu tunamsingiziaga Yesu
 
Ila Bongo kazi bila kumegwa ni mtihani kwa wadada, labda ushikwe mkono au utoe rushwa, wanaoajiliwa kwa elimu Yao ni wachache sana.
 
Ayaaaa hahahaha unataka mtalimbo siyo nalikuwa sijajua.

Ngoja nijiandae vilio mpaka majirani wasikie.

Mtalimbo wenyewe dolo huo nani au autake,ushajiharibu unalazimisha uanaume pole shostistoooooooo wamekukamua kotekote huna hamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom