Leave Jesus alone!

Leave Jesus alone!

Yaonekana weye ndo ulikutana na huyo boss mwisho mwisho hivi. Alipokuja huyo mwingine baada ya weye, ukajua anapelekwa interview ile ile. Wivu ukakupata. Acha wenzio nao waliwe. Sichochei huu upuuzi lakini thread yako ina elements za kiwivu wivu hivi

Mkuu ushaambiwa kaikopy mahali sasa unamlenga yy direct


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
bora ya wewe uliyewaambia hawa watu ukweli
mtu anafanya madudu yake anatanguliza Mungu
na kusema yeye ndiye aliyempatia hiyo kazi
wakati amefanya uovu ndipo kaipata

asante kwa mada yako nimeipenda sana


Unaomba kazi ukiwa na vyeti vyote,umefaulu vizuri,Una-Qualify kabisa kupata hiyo kazi,Baada ya Interview Bosi mmoja anakufuata anakwambia Kazi Uliyoomba unaweza kuipata ila umechemka maswali ya Usaili,Ukitaka nikusaidie uipate tukutane NAMNANI HOTEL ROOM 304 kesho jioni.

Ulivyo Bolizozo na Kichwa Panzi Ukaenda ukachanua ukamegwa ,Ukasaini mkataba...UnakujaFacebook na JF unatuandikia,'YESU ASANTE WEWE UNAISHI,MUNGU WA IBRAHIM ISAKA NA YAKOBO,ASANTE MAANA WEWE NI BWANA,UMENIPA KAZI.WEWE NI EBENEZAUnamdanganya nani?

Yesu ndo alikushauri ukamegwe na bosi upewe kazi?

We andika tu ukweli,KAZI DAR NGUMU SANA ILA MWILI UNASAIDIA.Usitufanye sisi watoto wadogo eboo!Degree haijakupa kazi hapo huna tofauti na changu wa Corner Bar.

Shikamooni Rasilimali-Kiuno wote.

Leave Jesus Alone.

Jamani tu-refresh mind zetu sio kila siku kulia lia tu tokomeza TEAMkuliakulia

Nimeicopy wajameni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom