Learning to love..ts so beautiful!

mhhhhhhhh mapenzi haya
i wonder kwanini mapenzi ya chuo huwa yananoga sana lakini hayafiki mbali
 
Kuna watu ukiachana nao bado wataendelea kuwa moyoni mwako ila kuna wengine unawasahau ukishageuka tu maana ni vituko aiseee mambo yao hayaeleweki wanaunga unga tu maisha hadi mahusiano tena kwa gundi ya makaratasi
 
jamani hii stori imenifanya nihisi kama u were my BF once upon a time lol...

sijui nimejisikiaje ndani ya moyo wangu


Tehe...leo mekuweza heaven on earth lol...ts somethin i always feel proud of when t comes to llve....
 
You can say that again.

Ndo maana wanasema it is better to have loved and lost than never to have loved at all.

Love is Beautiful. There is nothing like it especially when it is true and you are loved too.

Yah...ts somethn never end,,,,,especially when well and trustfully pracised,,,it let the beautifull memory ever on the mind......
 
mhhhhhhhh mapenzi haya
i wonder kwanini mapenzi ya chuo huwa yananoga sana lakini hayafiki mbali

Mi nadhan ts bcoz of closseness...u get tym to know each other well and spent most of tymonawafanya mnajusna tabia angalau kwa asilimia zote...

kuhus kudum kuna watu it worked out...
ila weng unakuta tayar wana mahusiano nyumban tayar so inakua ngum baada ya apo coz smtmes unakuta thngs are official here...shugul inaanzia apo.
 
Kuna watu ukiachana nao bado wataendelea kuwa moyoni mwako ila kuna wengine unawasahau ukishageuka tu maana ni vituko aiseee mambo yao hayaeleweki wanaunga unga tu maisha hadi mahusiano tena kwa gundi ya makaratasi

Yah...kuna watu watabak kua hostoria...kiukwel kuna wanawake u would wish to meet them over and over again bt wengne looh baada ya apo hutaman ata kukutana nae njian....
 
Kwa story hiyo, katika moja ya makosa ambayo umefanya kwenye maisha ni kuachana na huyo dada.
Ingawa hujasema chanzo cha kuachana lakin naona ni ufedhuri wako tu sura na umbo lake halikukidhi matamanio yako.

Ukiendelea na desturi hiyo, utapata mwanamke wa ajabu na utahangaika maisha yako yote.
 

Not necessarily. Wakati mwingine bora kuachana na mtu wakati bado mnapendana na kuheshimiana. Kuliko muachane mapenzi yamechuja
 

Touching dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…