47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 332
Nimekaa tu hapa navuta bhangi kiasi, alafu
nikaona
daktari kwa TV. Alafu nikakumbuka, nilikua na
dreams. Oooh, mara nataka kuwa daktari,
engineer,
pilot ama cashier wa bank (na hawa watu wa
bank
uhandle pesa mingi sana kwa siku alafu
wanalipwa
30k, hiyo ni upus). Nikaangaliaaaa,
nikaangaliaaaa,
nikaona tu nipe hawa wazazi hukua mabeste
wangu advice ya bure. Wacha mtoto a dream,
lakini, mwambie bado hata kua na A, haijawai
kua
issue, hatakua naye lakini, kuna wale pia walidrop
out na wakamake it.Ex alidrop out na saa
hii ni engineer, congratulations mah ex. beste
yangu
naye alidrop out pia, but maisha ilimwendea poa,
yeye ni group admin wa WhatsApp pages nne,
buda hawa watu wasiseme kua admin wa
WhatsApp groups nne si kuasuccessful buda.
Teach your children to be innovative,
entrepreneurs na kuthink out of the box.
Nimeenda....