Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Sawa
Hio ni cheap excuse tu, its either mtu yuko romantic au hayupo.
Pesa sio sababu
Hio ni cheap excuse tu, its either mtu yuko romantic au hayupo.
Pesa sio sababu
Hahahaha uwiiii agiza gari naja kulipa wanaume wengi wanaolalamika ni wale wasiokuwa na pesa hawajui tu jinsi wanavyozidi kuudhihirisha umasikini wao humu halafu ukiwakuta kwenye comments wanajitetea sasa kila mtu anasema ana pesaHivi wana hela skuiz eeh?Kama mengi ama baharesa?ama ni vijihela vyetu kina hohehahe?ndomana Kila Leo wanaishia kulialia jf kisa ugumu wa maisha na mishahara ya ngama,hahahah asilimia 80 ya thread zao ni kupigwa mizinga, mwanaume mwenye hela halii kuombwa hela na mwanamke,wengi wamefulia so stress zao wanakuja kuzitolea mitandaoni
Kalaghabaho hahahahah povuuu ruksa
Daah hili suala ni mtambuka madam, mfano wakristo kuoa mke zaidi ya mmoja ni dhambi wakati huo huo upande mwingine kuoa zaidi ya mmoja ni suna..Nilisema hao manabii mnaowatolea mifano kuwa walikuwa na wanawake wengi mkumbuke pia waliua kwahiyo mnataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena kwa sababu tu hao manabii na mitume waliua? Nijibu hilo
When it comes to bed, there is no single formula to satisfy a man or a woman...All the above could be true, my emphasis on 'could'. These beings called men only God knows what satisfy them especially on bed.
Not these men of nowadays, hehehe.HOW TO GET ALL THE MONEY YOU NEED FROM YOUR MAN...
If you want more money from your man or you want to turn your stingy husband into a super generous, lavish giver who never says NO to your demands, here are the simple things you can do to pratically turn your husband into an ATM machine that spills out money at your beck and call:
1. DO NOT WASTE HIS MONEY: No man likes to see his hard earned money wasted on frivolities. If you don't to how to keep money, he won't give to you.
2. LEARN TO MULTIPLY MONEY: If you are a good investor who knows how to turn #500 into #1000, your husband sees you as a good investment, a great asset and a wife worth spending his money on -he knows you will multiply it.
3. YOU ARE GENEROUS: Especially to his family members. He knows you won't hoard his money so he is very eager to give to you.
4. YOU ARE NOT TOO DEMANDING: He knows you are not selfish; he eagerly gives to you.
5. YOU PRAISE HIM: Praise turns a man on like no other. If you want your man to lose his senses and empty his pockets, just praise him -it works like fire!
6. GIVE HIM SEX: See, sex is important to your man. Just as you need money to look good, he needs quality sex to feel good. When you give him sex exactly how, when, where, for how long and anyway he wants it, he will empty his bank accounts for you. When a man gets sweet, delicious, hot and satisfying sex from his wife he becomes possessed with her love. He lost sight of other ladies and will do anything to please her including breaking his bank account to make her happy. Give him delicious sex for one week and make your request, he can't say no.
7. YOU ADMIRE HIM: If you genuinely tell him you admire the way he works hard for you and takes care of his family, he will give you more.
8. YOU RESPECT HIM: A man can die for a woman who treats him like her father, king, hero,President, Emperor, Lord and the captain of her heart. His money automatically become yours.
9. YOU ARE OBEDIENT: That gives him peace of mind. He can entrust his entire account to you because he knows you won't spend money on anything he does not approve.
10. YOU ARE HONEST: One of the ways you can tell your husband he is stupid and blind is to inflate school fees and price of things -nothing enrages a man like his wife taking him on a fool's ride. Honesty makes you trustworthy, lies make you undependable and unreliabe. Learn to be truthful and honest, he will entrust his money in your hands.
11. MAKE HIM YOUR LOVER: Love him like mad, like crazy. Fall madly in love with him. Make your husband your super lover, boyfriend and hearthrob. Lavish love on him, love him wastefully. Be hot, romantic and passionate. When a man is genuinely loved by his wife, he entrusts his very life including his account in her hands.
Alright. Those are the tips. Go work on them and see your husband spend lavishly on you. With God, anything is possible. Thanks for reading. God bless you. Cheers!
#copied
Tolea mfano kutokana na dini yako kwani dini nyingine wewe zinakuhusu?Daah hili suala ni mtambuka madam, mfano wakristo kuoa mke zaidi ya mmoja ni dhambi wakati huo huo upande mwingine kuoa zaidi ya mmoja ni suna..
Sasa sipendi kutolea maamuzi ya upande mmoja masuala mtambuka
Yes bosskwa hiyo unatumia experience za wengine
Punguza jazba madam nadhani unasahau watanzania wote ni ndugu..Tolea mfano kutokana na dini yako kwani dini nyingine wewe zinakuhusu?
Jazba in what sense? Kisa hilo swali lilivyokaa au? Kwani lilitakiwa likaeje ili nionekana sina jazba? Anyway back to the point ndiyo watanzania wote ni ndugu ila unajua fika kuwa kwenye maswala ya kidini hatujawahi kuwa ndugu hata siku mojaPunguza jazba madam nadhani unasahau watanzania wote ni ndugu..
ilikuja na ndege hy lugha,, ht mm sio mfuasi wa lugha hiyoOUT OF TOPIC.
ENGLISH LANGUAGE IS NOT FOR EVERYONE
Congrats you so humble, nimepokea ushauri wako wa kuhamia dini ya bi mdogo..Jazba in what sense? Kisa hilo swali lilivyokaa au? Kwani lilitakiwa likaeje ili nionekana sina jazba? Anyway back to the point ndiyo watanzania wote ni ndugu ila unajua fika kuwa kwenye maswala ya kidini hatujawahi kuwa ndugu hata siku moja
Na siyo Tanzania tu bali duniani kote migogoro ya kidini haijawahi na haitakaa kuisha japo kwenye mambo mengine tunaelewana vizuri kwahiyo kama wewe unataka kuoa mwanamke zaidi ya mmoja haujakatazwa kuhamia kwenye dini ya bi mdogo
Kwa nini unasema hivyo mkuu?Kuna wadada ni watata humu jf...![]()
Congrats you so humble, nimepokea ushauri wako wa kuhamia dini ya bi mdogo..
Mambo ya dini huwa sipendi kudeal nayo sana katika jamii yetu ya watanzania...
Swali, wewe unapinga kuchepuka tu au mpaka kuoa mke zaidi ya mmoja?
Madam unajitahidi sana kupangua hoja za msingi kwa point kuntu🤝🤝...Adam aliumbiwa mwanamke mmoja tu Evah na siyo zaidi yaani ubavu wa Adam ulitumika kumuumba Evah tu na siyo zaidi sasa mimi ni nani hata nibishane na uumbaji? Kama Mungu angetaka mwanaume awe na mwanamke zaidi ya mmoja aidha mahawara au wake halali basi angeonyesha msisitizo angemuongezea Adam wanawake wengine
Kwahiyo hapo hata mkisema eti msiziamini dini bado uumbaji utawaumbua tu uchumba au ndoa ni vya mwanaume mmoja na mwanamke mmoja tu hayo mengine fanyeni at your own risk huku mkijua kwamba ni dhambi ila siyo msingizie kwamba Mungu ndo kawaruhusu eti kwa sababu tu manabii na mitume wake walifanya hivyo wakati nao aliwapa adhabu na wenyewe walitubu
hawaezi elew hawa,hapa wanasoma huku wanabinua midomo wakijiuliza (mimi huyu nimfanyie hivi,avimbe bichwa)....Ni wabishi wanataka wafanyiwe wao hayo yani.
Kila siku wanatuita mafurushi.



Atoto njoo uone mtu analia huku unavyowaita wanaume mafurushi


Perimeter kumbe hilo neno huwa linawachoma enh nakazia mafurushi makubwa nyieMadam unajitahidi sana kupangua hoja za msingi kwa point kuntu...
Ila unatakiwa kukumbuka na kuelewa KILA JAMBO NA WAKATI WAKE, wakati wa Adam kuchepuka ilikuwa haiwezekani yani hata angetaka asingeweza..
Pia kuna mabadiliko yanayotokea kulingana na mazingira husika, hivi kila mwanaume akiwa na mke mmoja bila mchepuko unahisi wanawake wote watapata huduma japo kidogo?
Hii mambo iko deep sana, ishu iko hivi naturally and psychologically mwanaume anaumia sana mke wake akichepuka sababu anaanza kupata hofu ya kupata watoto ambao sio wake wakati mwanamke ishu ya watoto kutokuwa wake haipo kabisa kwa hiyo kinachomuumiza sio sex ila anaumia kuona mume wake anahudumia sehemu nyingine mbali na yeye yani anapeleka mali mbali na yeye. Kwa hiyo kimsingi mwanamke anaumizwa na resources kutawanywa wakati mwanaume anaumizwa na sex iliyofanywa asijepata uzao feki..
Kimsingi ukiweka pembeni dini na emotion ni bora mwanaume achepuke kuliko mwanamke provided mwanaume anamtunza vizuri mwanamke..
Bila shaka umefurahia elimu hii na utaniahidi kuunga mkono na kubadilika katika mtazamo chanya![]()