Learn how to get money frm ur Man

Learn how to get money frm ur Man

Unajua kwanini waliitii? Walikuwa na uhuru wa kuongea kama sisi? Halafu kwako wewe katiba na tamaduni ndo vya kuheshimiwa kuliko maandiko matakatifu? SMH
Kutii ni dalili ya nidhamu na adabu, uhuru wa kuongea ni matokeo ya demokrasia kukua.
Hata kwenye maandiko tunaona ndugu yetu mwenye hekima alivyotumia hekima yake vema kwa wanawake 🤝🤝
 
Haki ya kikatiba katiba ipi? Halafu katiba ni nini? Waliotunga katiba ndo waliotuumba?
Haki ya kikatiba ni lugha ya picha kuonyesha kuna haja ya kulinda na kuheshimu jambo fulani na sio kutaka kuchambua kiundani au kukosoa..
Ndio maana kuchepuka ni haki ya kikatiba katika katiba isiyoandikwa..
Bila shaka umepata elimu nzuri kwa maslahi mapana ya kutetea uchepukaji
 
Hahahaha mnanifurahisha mnavyopenda kutolea mifano ya kina Solomon na David kwamba walioa wake wengi na walikuwa na michepuko hivi mmajua hao mwisho wao ulikiwaje? Mnajifanya hamjui kwamba Mungu aliwapa adhabu na walipozeeka walikuja kutubu dhambi zao wenyewe?

Kuwa nabii au mtume hakumfanyi mtu kuacha kutenda dhambi kwani nao siyo malaika ni binadamu kama sisi halafu kama ulikuwa haujui hao wote waliua na kuua kabisa sasa je mnataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena kwa sababu kuna manabii na mitume wa Mungu waliua? Naomba nijibu hilo swali
Kutii ni dalili ya nidhamu na adabu, uhuru wa kuongea ni matokeo ya demokrasia kukua.
Hata kwenye maandiko tunaona ndugu yetu mwenye hekima alivyotumia hekima yake vema kwa wanawake
 
Hahahaha mnanifurahisha mnavyopenda kutolea mifano ya kina Solomon na David kwamba walioa wake wengi na walikuwa na michepuko hivi mmajua hao mwisho wao ulikiwaje? Mnajifanya hamjui kwamba Mungu aliwapa adhabu na walipozeeka walikuja kutubu dhambi zao wenyewe?

Kuwa nabii au mtume hakumfanyi mtu kuacha kutenda dhambi kwani nao siyo malaika ni binadamu kama sisi halafu kama ulikuwa haujui hao wote waliua na kuua kabisa sasa je mnataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena kwa sababu kuna manabii na mitume wa Mungu waliua? Naomba nijibu hilo swali
Kumbe walitubu uzeeni ila ujanani walifanya yao inakuwa ngumu kukujibu kabla sijazeeka sasa ila walitubu na walizeeka tuwe na subira tuone
 
Hoja ni kwamba unachanganyikiwa na kiumbe kinachoitwa MWANAMKE ambacho unakidharau mimi idadi ya wanawake ulionao hainihusu ila ungekuwa hauchanganyikiwi kabisa na wanawake basi haja zako ungekuwa unazimalizia sehemu nyingine

Halafu unanishangaza unavyosema WEWE hauchanganyikiwi kwani wewe ni nani? Wapo wanaume wanaochanganyikiwa na hao wanatosha kabisa siyo lazima hadi na wewe uchanganyikiwe kwani wewe ni nani hadi tukusubirie na wewe uchanganyikiwe ndo tukubali kwamba unachosema ni kweli? We wa ajabu kweli
vyombo vya starehe vinamchanganya akili nani? mimi au? una hoja za kitoto sana,yaani mimi nichanganyikiwe kisa mwanamke mmoja, wakati kuna wanawake mia mbili ambao nimewasave ili nije nipige baade,achana na wanawake wapya naokutana nao,then nichanganyikiwe kisa mwanamke mmoja?? unanichekesha!!,
 
Desires? Hizo desires zenu hadi zitimizwe zote na mridhike ni leo? Maana ninavyowajua siyo kwamba wanawake hawajitahidi kufanya mnayotaka ila tu wanaume hata wanawake wafanye nini lazima mtafute sababu za kuwatafutia makosa tu
It depends with the level of your services. If you impress my desires then no doubt, imma be showering you with them benjys like errday
 
Kumbe walitubu uzeeni ila ujanani walifanya yao inakuwa ngumu kukujibu kabla sijazeeka sasa ila walitubu na walizeeka tuwe na subira tuone
Nilikuwa najaribu kukuelewesha kwamba kuchepuka ni dhambi na siyo haki ya mtu yeyote ndo maana hao walitubu ingekuwa ni haki basi wasingetubu halafu unajua wewe utakufa ukiwa na miaka mingapi na utajuaje kama kifo kitakukuta ukiwa umeshatubu? Na haujanijibu swali langu la pale juu nasubiri jibu.
 
Desires? Hizo desires zenu hadi zitimizwe zote na mridhike ni leo? Maana ninavyowajua siyo kwamba wanawake hawajitahidi kufanya mnayotaka ila tu wanaume hata wanawake wafanye nini lazima mtafute sababu za kuwatafutia makosa tu
Desires zetu ukiulizia popote duniani ni hizo hizo tu hasa wengi ni 6 & 8 au 9!

Shida nyingi huanza mnapolega lega kufanya hizo parts.
 
Ndo nasema kutimiza hizo zote kwa pamoja na kwa usawa ni ngumu kama ambavyo ni ngumu kwa mwanaume kuwa na pesa halafu akawa romantic wanaishia kusema "yaani nikutafutie pesa na bado niwe romantic kwako?" So you see how you guys are unfair
Desires zetu ukiulizia popote duniani ni hizo hizo tu hasa wengi ni 6 & 8 au 9!

Shida nyingi huanza mnapolega lega kufanya hizo parts.
 
Nilikuwa najaribu kukuelewesha kwamba kuchepuka ni dhambi na siyo haki ya mtu yeyote ndo maana hao walitubu ingekuwa ni haki basi wasingetubu halafu unajua wewe utakufa ukiwa na miaka mingapi na utajuaje kama kifo kitakukuta ukiwa umeshatubu? Na haujanijibu swali langu la pale juu nasubiri jibu.
Swali gani sijajibu? Adhabu walizopewa au?
Ikumbukwe kawaida ni kama sheria na imeandikwa tiini mamlaka iliyowekwa duniani sasa kuchepuka kwenye mahusiano sidhani kama ni kosa kwa mamlaka iliyowekwa kwetu hapa?
 
Hio ni cheap excuse tu, its either mtu yuko romantic au hayupo.
Pesa sio sababu
Ndo nasema kutimiza hizo zote kwa pamoja na kwa usawa ni ngumu kama ambavyo ni ngumu kwa mwanaume kuwa na pesa halafu akawa romantic wanaishia kusema "yaani nikutafutie pesa na bado niwe romantic kwako?" So you see how you guys are unfair
 
Ndo nasema kutimiza hizo zote kwa pamoja na kwa usawa ni ngumu kama ambavyo ni ngumu kwa mwanaume kuwa na pesa halafu akawa romantic wanaishia kusema "yaani nikutafutie pesa na bado niwe romantic kwako?" So you see how you guys are unfair
Hivi wana hela skuiz eeh?Kama mengi ama baharesa?ama ni vijihela vyetu kina hohehahe?ndomana Kila Leo wanaishia kulialia jf kisa ugumu wa maisha na mishahara ya ngama,hahahah asilimia 80 ya thread zao ni kupigwa mizinga, mwanaume mwenye hela halii kuombwa hela na mwanamke,wengi wamefulia so stress zao wanakuja kuzitolea mitandaoni
Kalaghabaho hahahahah povuuu ruksa
 
😂😂😂
Huu ni uchochezi
 
Nilisema hao manabii mnaowatolea mifano kuwa walikuwa na wanawake wengi mkumbuke pia waliua kwahiyo mnataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena kwa sababu tu hao manabii na mitume waliua? Nijibu hilo
Swali gani sijajibu? Adhabu walizopewa au?
Ikumbukwe kawaida ni kama sheria na imeandikwa tiini mamlaka iliyowekwa duniani sasa kuchepuka kwenye mahusiano sidhani kama ni kosa kwa mamlaka iliyowekwa kwetu hapa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom