Learn how to get money frm ur Man

Learn how to get money frm ur Man

Wanaume walishajifanya wao ndio wana hela wanawake hawana hela
😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡
Wanawake wanapenda kuhongwa na wanaume zao. Mwanamke hata kama ana milioni moja mfukoni akihongwa elfu 20 na mwanaume wake anafurahi.

Pesa kwa mwanamke ni kama sex kwa mwanaume. Ndo maana mahusiano yote huwa yanahusisha exchange ya hivi vitu viwili.
 
Back
Top Bottom