by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 216
Weng wao uwa wanalala kwenye mabox sasa akifika kwenye gari ile seat inakuwa kama sofa
Pole ila mi skushauri uanzishe ugomvi tembea na pini au sindano tuu ikitokea umekaa nae siti moja mtu anakulalia unamchoma kidogo akistuka unajikausha kama sio wewe akikuuliza unamwambia hata hujui akirudia unamchoma tena hadi aache kuasinzia lol
Ni kujiendekeza tu kwa hao wanawake (na wapo wanaume wenye hii tabia pia)
Watu wanasafiri safari za zaidi ya masaa kumi kwa ndege, na hawalalii wenzao, itakuwa Tandale Posta?!
Ni ukosefu wa ustaarabu tu
....kila usafiripo jaribu kukaa siti ya mmoja kwenye daladala ile ya mbele au kwenye mabasi pia ile siti ya mbele ila ndo usiwe na haraka koz ukikuta imekaliwa usubirie basi lingine lol. Pole ila mi skushauri uanzishe ugomvi tembea na pini au sindano tuu ikitokea umekaa nae siti moja mtu anakulalia unamchoma kidogo akistuka unajikausha kama sio wewe akikuuliza unamwambia hata hujui akirudia unamchoma tena hadi aache kuasinzia lol
Mimi hata mtu akizungusha mkono nyuma ya siti niliyokaa namtoa,itakuwa kunilalia?
Una maanisha kuna wanaume walaliaji wa wenzao??...imewahi kukutokea hii Gaijin
ha ha ha haaah!!
Ennie umenimkumbusha jamaa mmoja kuna siku
alipigana na abiria mwenzake ndani ya daladala baada ya kuzungusha mkono
nyuma ya siti. Aliyekuwa kakaa kwenye siti akamwambia utanilipia
nauli?? Ugomvi ukaanzia hapo...
Hahahahaaaaa! Kaka SnowBall punguza woga!!! BAHATI YA MTENDE KUOTA JANGWANI HIYO afu wewe unjibalaguza!!!! Mwenzio naombwaga niwalalie watu nikiwa ndani ya Dar Express kwenda kijijini kwa Mdingi! LOL! Ila nakomaaga kusinzia wima coz most men do smell bad, especially kama hujamzoea!!!!Chezea mwanaume umemtamani, afu HAMADIII! Huyu hapa mpo siti moja????!!! LAZIMA SILAHA ZOTE ZA MAANGAMIZI ZITUMIKE!!!!!! lolest
ahahahahhahhahhah BADILI TABIA unataka mu pacha azabe vibao wadada wa watu!?humtakii mema wewe!akizidiwa huwa ananyanyuka!lakini ameniacha hoi anavosema ''hivi nyie wadada mnapotulalia hivi hamjui na sisi tunahisia??.'' ahahahha hebu muulize pacha wangu huwa anapata hisia gani!mi naogopa atanichapa!.
[MENTION]BADILIA TABIA[/MENTION] kama umenisoma vizuri nilisema ntafanya maamuzi magumu..nadhani hapo kwenye bold panahusika..naona upole wangu unaniponza ati!
Mimi hata mtu akizungusha mkono nyuma ya siti niliyokaa namtoa,itakuwa kunilalia?
Lakini kabla hatujafikia uko ndugu yangu sakapal kwanini watu wasiwe wastaraabu jamani?..Yaani Tegete-Mwenge mtu ushakoroma..lol!
Ina nini hiyo perfume?Easy task...tafuta perfume moja hivi inaitwa SIMLA.........hakuna atakayekugusa..LOL
SnowBall hayo maamuzi magumu hayo yatakucost aise usipoangalia vyema
halafu kama alivyosema Saint Ivuga acha kutumia uturi wenye harufu nzuri bana hebu siku moja nenda kajipulizie yale ya zanzibar uone kama kuna atakayesogeza pua yake
Ndo yepi hayo braza?....