SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,846
- Thread starter
- #41
....Pamoja na usafiri wa bongo kuwa na shida ila kunawakati unakuburudisha vituko vyake na kukufanya usahau matatizo yako kidogo, saa nyingine watu wanagombania siti na kutukanana matusi juu, mara kama umesimama na mmebanana kunawanaume wanashukwa na mfadhaiko kwa kubanana na miili ya wadada na kuanza kubashia watu hovyo kila gari inapofunga breki, yaani ni full burudani hasa ukiwa wewe ulishazunguka na daladala so unacheki movie hadi unafika...........Thanks best kwa hii thread umenikumbusha mbali sana lol, ninavituko vingi sana huwa navishuhudia kwenye daladala, saa nyingine unachukia hadi unacheka kwa hasira.
Kweli tembea uyaone..hii kitu wapi?...mbagala nini??