Le Profesor wa buguruni malapa

Le Profesor wa buguruni malapa

Hivi tangu huyu le profeseri avamie hapo ofisini alishawahi kubadili nguo kweli??
 
images-53.jpeg
images-50.jpeg
images-50.jpeg

Kaamua kukaa ~~~
 
Attachments

  • 1475415124700.jpg
    1475415124700.jpg
    51.9 KB · Views: 47
Mie naweka akiba ya maneno isije yakatokea kama ya Lowassa nikaanza kula matapishi.
 
Yaani huyu Mzee anajizalilisha sana,sijui hana ndugu au marafiki wakumshtua hapo alipo kwenye huo usingizi mzito.
Wala usimcheke hata wewe inaweza kukutokea kama tu ukipokea zile pesa za kitengo
 
Hivi hela huwa wanapewa viongozi wa upinzani wenye kutofautiana na wenzao tu ila wengine huwa hawapewi pesa?
 
Kwa namna anavoenenda prof huyu,anatupa chati sana tulioishia darasa la 7A
 
Nyie chadema mbona mnaingilia mambo ya cuf yanawahusuje? Mpinzani halisi kaja fungeni midomo yenu mmemshibdwa mh mkuu mnaingilia ya cuf wakati mmetangaza wenyewe oooh ukuta ukuta mheshimiwa kaubomoa mmeshindwa kumfanya chochote
 
Cc chadema hatujamuingilia mtu yeyote
 
Dah..safari hii ameyakanyaga..kakutana na kisiki cha mpingo...nyang'anyang'a..mbendembende...mlalo wa chali..kifo cha mende..🙂🙂
 
Back
Top Bottom