Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Amekula hela ya Lumumba mpaka akamilishe kazi... Hiyo ndo kazi yake ndani ya CCM, Mrema, slaa ndo zaoYaani huyu Mzee anajizalilisha sana,sijui hana ndugu au marafiki wakumshtua hapo alipo kwenye huo usingizi mzito.
Ashajitoa ufahamu huyo..Saivi network hazisomi,anaendeshwa kwa remote na wana lumumbaHivi ana watoto wakubwa kweli huyu?..na wanajisikiaje?
AnasikitishaAshajitoa ufahamu huyo..Saivi network hazisomi,anaendeshwa kwa remote na wana lumumba
House Boy wa Ilala, IQ kubwa haimaanishi huwezi kurun mental...Ukiwa Na IQ kubwa,wenye IQ Ya mende kukuelewa ni ngumu sana kwanza Haiwezekani!!
Hahaaaaa...Dish limegoma kukamata chanel. Kazi anayoPropesa ubwabwa dish limecheza