Bwana lemutuz umekua ukijitangaza sana kwenye mitandao ya kijamii kua unaanzisha radio yako huko mkoani Morogoro na itaitwa Swahili Radio FM ambayo nafahamu ipo chini ya Swahili African Media Ltd iliyopo Dar.
Naomba utoe uthibitisho wa umiliki wako, yes! Sipendi mtu anaepotosha jamii na kupandia juu ya migongo ya wengine.
Nina ushahidi wa mmiliki wa radio iyo kua Bwana Davis Mosha na team yake na hata process zote za awali ikiwamo transimitter na mambo kama hayo amefanya Bwana Davis kupitia kijana wake Wilbroad.
Tusipotoshane?
Hata hvyo vipi ile TV show ilifiaga wapi?