Le Mutuz ulingoni

Kwanza ameshindwa hata kupangilia mtiririko wa elimu yake hapo kwenye hiyo kadi.Ameanza na digrii ya kwanza kisha akaweka digrii ya pili na akamalizia na diploma.Na mbona vyote alivyosoma havina uhusiano na anachokiwania?Ningeshauri atusaidia kwenye uangalizi wa meli hapa kwetu Bongo kwa hiyo Diploma yake.
 
And MODS have decided that I should never have a signature......hats off to them
 
Sasa uchungu wa mwana umetoka wapi? Hizi slogans zingine bana........najua atajitetea kuwa ni kwa sababu anaomba uwakilishi wa WAZAZI lakini hii slogan in maana ndefu sana
hivi huyu babu ni mgumba?
Mbona kwenye facebook page yake hajaweka picha za wanawe??
 
Halafu hapo kwenye uzoefu mbona hajaweka kuanzia lini hadi lini.
 
Kwisha hbr yakee! Kupata mtoto ni suala jingine kwahiyo usishangae ktk facebook hajaweka vijana .
 

Hana msaada wowote angalia alikosoma na masomo aliyosoma
utagundua alikua ANABUTUA ili ajiokoe tuuu!
Kama kichwani yuko safi asingekimbizana na hizi siasa uchwara!!!:cheer2:
 
Diploma Engineer wa meli hapo tu ndo nimeipenda inaonekana amekosa kingereza chake manake kote kaeleza kwa kingereza
 
Si aombe kazi kwa Mwema? Kwani lazima ajira ije kwa kura? What a waste with that Masters Degree
 
Diploma Engineer wa meli hapo tu ndo nimeipenda inaonekana amekosa kingereza chake manake kote kaeleza kwa kingereza

i thought he would actually say Sea vessel engineer.
 
Uchungu wa Mwana Aujua Mzazi! Wazazi kaeni mkao wa kula kwa kwakumpa jamaa kula!

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…