Huyu si nimesikia atagombea ubunge?
Hivi hawa watu wenye akili za kimiss kweli wanapotaka kujiingiza bungeni wanafikiri watafanya nini pale?
CCM walikosea sana kuja na hii habari ya VITU maalum ndo chazo cha watu wa hovyo kuitamani bunge hadi heshima ya kibunge haipo tena.