Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
lol!!! usije ukavunja shingo bure, ngoja nikusaidie 🙂🙂
![]()
Isimamishe
lol!!! usije ukavunja shingo bure, ngoja nikusaidie 🙂🙂
![]()
Isimamishe
Unasema?
Kabisaa mkuu mijitu kama ile ua inakuja kichwakichwa basi likija unalipa mikono mfululizo mpaka likaseme kwa dingi ake..lilikua breakpoint linatafuta mbeibiz wa kupiga nao picha,,,wala usiliogope mkuu, ya vile mepesi sana kuyakalisha, ukipiga nakoz ya mbavu au chembe lazima akae , yale manyama hata buchani yapo...
Kabisaa mkuu mijitu kama ile ua inakuja kichwakichwa basi likija unalipa mikono mfululizo mpaka likaseme kwa dingi ake..lilikua breakpoint linatafuta mbeibiz wa kupiga nao picha