Le Mutuz mzee wa mbeibiz

Le Mutuz mzee wa mbeibiz

Gulaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
659
Reaction score
230
Leo nimeiona kitimoto ya celebrity le mutuz ikiwa imepaki breakpoint posta
 
embu rotate hiyo picha

here we go:-

IMG_20140802_125118.jpg
 
Hahaha...kaingia kujifunza kutumia facebook ya bure.
 
...mbona umepiga kwa mbali,unaliogopa hilo jamaa...
 
Hakuna mtoto wa kiongozi matatizo kama hili bwaku ngaji:
 
Trafiki hawaoni kuwa hilo ni kosa?huyu wiliam hana akili timamu maana umri hauendani na matendo yake
 
Haa haa teh kwi kwi mjini mipango mno.....
 
Ahaaa naliogopa aisee si unaona lilivo kubwa
,,,wala usiliogope mkuu, ya vile mepesi sana kuyakalisha, ukipiga nakoz ya mbavu au chembe lazima akae , yale manyama hata buchani yapo...
 
Back
Top Bottom