Le Mutuz: Leo Uchaguzi So Need Your Prayers!!

unahitaji maombi yetu kuingia kwenye lichama lenu la kinyonyaji ili baadae mtumalize kabisa. Kajisalimishe kwa makamanda wa CDM ili usaidie kuikomboa hii nchi sio kuendelea kutafuta nafasi za kuangamiza nchi yetu.
NAKUOMBEA USHINDWE KULIKO ULIVYOSHINDWA HATA KWENYE UBUNGE WA EAC
 
nenda kapost kwenye blog ya ccm labda watakupa moyo kidogo,pia c kuna website??
 
Ni jina "Malecela" ndio linampa shida, si unajua huko ufisadini jina ni kitu muhimu kupata wadifa (ulaji)? Ni aibu kwa kijana ambaye angefanya vitu muhimu, kukimbilia ufisadini! Namjua yule dada yako mwenye heshima kwenye jamii kwa kazi anayofanya, hakuna mtu atamng'ong'a kwa lololte.....mzee kutokea kwenye siasa, si lazima na watoto waibukie huko....uroho ndugu!
 
Dogo le Mutuz mbona unahangaika sana? Where have u been all years mpaka unakuja kuhangangaika na siasa uchwara za ccm wakati huu inaelekea ukingoni? Huoni kama unajisumbua? Au unaona Mzindakaya's family na Kawawa family wamo kwenye uongozi wa kuteuliwa na wewe unataka lazima nawe ule cheo au uongozi? Mbona watoto wa sumaye'warioba'mkapa na wengineo wako kimya tu na wanaendelea na maisha yao? Si bora tu uuendelee kupiga box mbele kwa obama? Jiangalie mkuu,maana wewe karama ya uongozi haipo hata chembe ni unalazimisha tu.
 
Ha ha ha ha ha ah
Le Mutuz Le Baharia Le Big Show!! kila la kheri Bro...
 
I'm relieved! Manake nilijua naanza kudata, kumbe siko alone. Mie naangua vicheko kama nadungua maembe, ngoja nikam-follow tweeter.
honestly napenda sana thread za le mutuz mana kutwa nzima nakua natabasamu
 
Kama huna burungutu la kuhonga hao magamba forget about getting the votes!! Hicho ndio chama cha mafisadi; bila shaka experience yako ulipogombea ubunge inakudhihilishia hilo.!!!KULYACHI BLAI?
 

Nakusikitikia saana, kujipenyeza kwenye chama kinachokufa! Sorry for you! Mimi ni MNYAUSI mwenzako lakini nakuhurumia!
 
Wewe kweli mbumbumbu, hujaona media ya kutafutia umaarufu isipokuwa JF - Pro chadema?
 
le mutuz tafadhali njoo ushiriki filamu ya big mama wewe utakuwa mhusika mkuu
 
Changia JF sio unakuwa unapitia tu, acha unafiki...
 
Le mutuz bana..

mkw.ere type


nenda kapost kwenye blog ya ccm labda watakupa moyo kidogo,pia c kuna website??



Ghafla bin vul le mutuz awa rais wa TZ

God forbid!

Wakuu asanteni sana! mmeyasema yote!
Jasusi asante sana, sana! manake haya mambo yanahitaji na maombi kabisa kuhakikisha hayatokei tena, tuliyoyaona kwa m.k.w.e.r.e yanatosha
!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…