Le Mutuz: Leo Uchaguzi So Need Your Prayers!!

W. J. Malecela kumbe huna lengo la kuwasaidia wananchi!! ,wewe unatafuta ticket ya NEC kupitia hiyo nafasi.Safari bado ni ndefu.
 
Last edited by a moderator:
​nani atakuchagua wewe ***** namna hiyo
Heshima mbele JF, leo ndio siku ya uchaguzi ngazi za Wilaya na Mkoa CCM hapa Karimjee Hall, ninagombea Ujumbe wa CCM wa the Great Wilaya ya Ilala na Ujumbe wa Kamati ya Siasa, so Inshallah nikipita then safari yangu ya NEC na Chama cha Wazazi Taifa mwezi ujao itakuwa 100% sawa you know!!

- This is a tough one so I need your prayers people, One Bongo! One Nation! Ingawa wengi hatuna Itikadi moja; lakini at the end of the day ni we are One Nation na SO HELP ME GOD!!

LE BAHARIA BIIG SHOOW!!
 
OK SPEOPLE SASA TUMEKUWA:-

1. MJUMBE WA WAZAZI MKOA: MJUMBE WA WILAYA CCM; KATIBU MWENEZI WA WAZAZI KIVUKONI; KATIBU WA FEDHA; ELIMU; UCHUMI NA MAZINGARA WA KATA YA KIVUKONI; PAMOJA NA MJUMBE WA KAMATI YA SIASA KATA KIVUKONI; MUNGU AWABARIKI WANANCHI WA KATA YA KIVUKONI KWA KUNIAMINI NA PIA WANA-JF KWA KUNIOMBEA SANA MAANA BILA HIVYO INGAKUWA NOMA SANA!!

2. JUST FOR THE RECORD: KATA YA KIVUKONI NI KATA NUMBER ONE NCHINI; CAUSE WAKUU WOTE WA TAIFA WA ZAMANI NA WA SASA WANATOKEA HUKU; INAJUMUISHA MATAWI YA OCEAN ROAD; PAMBA ROAD; UPANGA; SEAVIEW NA MAGOGONI SO UNDERSTAND THAT NA HASA WA MAJUKUMU YANGU MAPYA YOU KNOW! HA! HA! HA! HA! I MEAN THIS IS WASAP!!

- HOWEVER: PIA NAOMBA KUWAOMBA RADHI KWAMBA KUTOKANA NA KUKABIDHIWA MAJUKUMU MAPYA MAZITO SANA YA KUWAONGOZA NA KUWAWAKILISHA WANANCHI, SASA MUDA UMEPUNGUA SANA NA UTAKUWA HAUTOSHI TENA KAMA ZAMANI NILIPOKUWA SINA MAJUKUMU WA KISIASA KAMA HAYA MAPYA!! SO NAOMBA TENA KUWAOMBA RADHI KWAMBA SITAPATIKANA TENA HUKU KAMA ZAMANI; LAKINI UNAWEZA KUNIPATA FACEBOOK NA KWENYE MY LE MUTUZ SUPER BLOG AT Le Mutuz Super Blog IF YOU KNOW WHAT I MEAN YOU KNOW!

- I MEAN SAFARI NDIO HII IMEWIVA; HATUANGALII NYUMA TENA TUNAENDA KWA MBELE TUU, KWENYE MAISHA KUNA WAPIGA KELELE KWENYE MITANDAO: KUNA WASHANGILIAJI: KUNA WASINDIKIZAJI: KUNA WAPIGA DOMO TU!!: KUNA WAPIGA MAJUNGU TU: NA KUNA WAFANYISHAJI WA UKWELI KAMA MIMI TUMEPIGA KELELE KWA NJE YA KUTOSHA SASA TUMEAMUA KUINGIA HUKO HUKO NDANI KUBADILI MAMBO SIO KULIA LIA TU KWA NJE MIAKA NENDA MIAKA RUDI; DAWA NI KUINGIA HUKO HUKO KWA NDAAAA!!

- LEO UWANJA WA TAIFA KWENYE VYUMBA VYA KUVALIA WABUNGE WA SIMBA NA YANGA I HAD A GREAT AND VERY USEFUL TIME NA WABUNGE VICHWA WA CHADEMA: THE GREAT ZITTO; SUPER NASSARI: NA SUPER MSIGWA; MY BABIES KIWELU NA HALIMA MDEE: I AM HUMBLED SANA NA UWEZO WAO MKUBWA SANA WA KUFIKIRI NA I LOVE THEM ALL NI SUPER WATUPU!! PIA HAD A WONDERFULL TIME KULE VIP NA MABEBS THE LIKES OF SUPER WEMA SEPETU, WOLPER NA MY BABY SINTAH JLO!! YAANI IT WAS WASAP TUPU!

RESPECT MUCH NA PEACE MA PEOPLE!! NA KWAHERI YA KUONANA TENA!!

LE BIG SHOW SUPER MUTUZ BAHARIA!!!
 
2. kwahy nawewe unaota kuwa siku 1 utakua kiongozi wa nchi hiikwakua umekua mjumbe wa kata iliyotoa viongozi wa nchi? Ha ha ha ha..... 3} sasa hivi unamajukumu mazito ya kisiasa hvy hutopatikana jf kwa magreat thinker bali utapatikana facebook kwa wauza sura .....
 
ndo kawaida yenu wana-Magamba wananchi wakisha wapa dhamana ya uongozi mnawakimbia wananchi; sasa huko facebook kuna nini zaidi ya JF kwa wachambuzi wa mambo???? Anyway kwaeri bwana na sidhani kama unaitajika sana huku
 
hivi wewe unahnagaika sana kwa nini?huna kazi nuingine ya kufanya?
 
umewaambie ze-totoz mkuu?me nakuaminia kwa maduu,lakini naamini kati ya watu walopotea we ni mmoja wao,ingekufaa ungeanzisha kipindi cha television kinachohusu mambo ya walimbwende hapo utawin-BIG SHOW
 
big show
tumblr_m5nmchXoB31rsc22uo1_500.jpg
 
bwana mdogo le mutuz mbona hueleweki,, mara ubunge kinyerez mara uko kivukoni.. Allafu hata kwenye bulog yako imejaa umbea na mambo ya kishamba.. Tu.. Bora umeamua kupungua huku kwenda kwenye udaku huko.. Wasalimie wote.
 
W. J. Malecela Kaazi kweli kweli kuwa kiongozi wa CCM, halafu kule kwenye Le Mutuz mbona kumejaa picha za mabinti tu au ndio siasa zenyewe hizo, especially Sinta aka JLO na maneno miiiiiiiiiiiiingi ya kumsifia yule dada.
 
Last edited by a moderator:
Heshima mbele JF, leo ndio siku ya uchaguzi ngazi za Wilaya na Mkoa CCM hapa Karimjee Hall, ninagombea Ujumbe wa CCM wa the Great Wilaya ya Ilala na Ujumbe wa Kamati ya Siasa, so Inshallah nikipita then safari yangu ya NEC na Chama cha Wazazi Taifa mwezi ujao itakuwa 100% sawa you know!!

- This is a tough one so I need your prayers people, One Bongo! One Nation! Ingawa wengi hatuna Itikadi moja; lakini at the end of the day ni we are One Nation na SO HELP ME GOD!!

LE BAHARIA BIIG SHOOW!!

Utapata kura moja ya kwako mwenyewe, nitasikitika sana kama wanachama wa Chama Cha Mabwepande watakuchagua wewe na uwezo wako mdogo kwenye siasa. Nadhani jaribu biashara nyingine mkuu, siasa kwako iko mbali sana ni kama mbingu na ardhi.
 
OK SPEOPLE SASA TUMEKUWA:-

1. MJUMBE WA WAZAZI MKOA: MJUMBE WA WILAYA CCM; KATIBU MWENEZI WA WAZAZI KIVUKONI; KATIBU WA FEDHA; ELIMU; UCHUMI NA MAZINGARA WA KATA YA KIVUKONI; PAMOJA NA MJUMBE WA KAMATI YA SIASA KATA KIVUKONI; MUNGU AWABARIKI WANANCHI WA KATA YA KIVUKONI KWA KUNIAMINI NA PIA WANA-JF KWA KUNIOMBEA SANA MAANA BILA HIVYO INGAKUWA NOMA SANA!!

2. JUST FOR THE RECORD: KATA YA KIVUKONI NI KATA NUMBER ONE NCHINI; CAUSE WAKUU WOTE WA TAIFA WA ZAMANI NA WA SASA WANATOKEA HUKU; INAJUMUISHA MATAWI YA OCEAN ROAD; PAMBA ROAD; UPANGA; SEAVIEW NA MAGOGONI SO UNDERSTAND THAT NA HASA WA MAJUKUMU YANGU MAPYA YOU KNOW! HA! HA! HA! HA! I MEAN THIS IS WASAP!!

- HOWEVER: PIA NAOMBA KUWAOMBA RADHI KWAMBA KUTOKANA NA KUKABIDHIWA MAJUKUMU MAPYA MAZITO SANA YA KUWAONGOZA NA KUWAWAKILISHA WANANCHI, SASA MUDA UMEPUNGUA SANA NA UTAKUWA HAUTOSHI TENA KAMA ZAMANI NILIPOKUWA SINA MAJUKUMU WA KISIASA KAMA HAYA MAPYA!! SO NAOMBA TENA KUWAOMBA RADHI KWAMBA SITAPATIKANA TENA HUKU KAMA ZAMANI; LAKINI UNAWEZA KUNIPATA FACEBOOK NA KWENYE MY LE MUTUZ SUPER BLOG AT Le Mutuz Super Blog IF YOU KNOW WHAT I MEAN YOU KNOW!

- I MEAN SAFARI NDIO HII IMEWIVA; HATUANGALII NYUMA TENA TUNAENDA KWA MBELE TUU, KWENYE MAISHA KUNA WAPIGA KELELE KWENYE MITANDAO: KUNA WASHANGILIAJI: KUNA WASINDIKIZAJI: KUNA WAPIGA DOMO TU!!: KUNA WAPIGA MAJUNGU TU: NA KUNA WAFANYISHAJI WA UKWELI KAMA MIMI TUMEPIGA KELELE KWA NJE YA KUTOSHA SASA TUMEAMUA KUINGIA HUKO HUKO NDANI KUBADILI MAMBO SIO KULIA LIA TU KWA NJE MIAKA NENDA MIAKA RUDI; DAWA NI KUINGIA HUKO HUKO KWA NDAAAA!!

- LEO UWANJA WA TAIFA KWENYE VYUMBA VYA KUVALIA WABUNGE WA SIMBA NA YANGA I HAD A GREAT AND VERY USEFUL TIME NA WABUNGE VICHWA WA CHADEMA: THE GREAT ZITTO; SUPER NASSARI: NA SUPER MSIGWA; MY BABIES KIWELU NA HALIMA MDEE: I AM HUMBLED SANA NA UWEZO WAO MKUBWA SANA WA KUFIKIRI NA I LOVE THEM ALL NI SUPER WATUPU!! PIA HAD A WONDERFULL TIME KULE VIP NA MABEBS THE LIKES OF SUPER WEMA SEPETU, WOLPER NA MY BABY SINTAH JLO!! YAANI IT WAS WASAP TUPU!

RESPECT MUCH NA PEACE MA PEOPLE!! NA KWAHERI YA KUONANA TENA!!

LE BIG SHOW SUPER MUTUZ BAHARIA!!!

Kaka hapo kwenye red umedhihirisha ambavyo kichwani upo very low....hivi kweli utafanya kazi za kukomboa taifa hili kama unashinda na ma-bebies? Jamani, hivi hao waliokuchagua kuwa kiongozi wanatumia nini kufikiri? Maana hata masaburi hayafikirii namna hii. Hizi sio akili kabisa, nakushauri badilika la sivyo tafuta kazi nyingine, unapokuwa kiongozi jaribu kusema, kutenda kama mtawala...sio bebies,babies,babies!! hata huyo mke wako atakuwa anajisikiaje kama wewe kazi yako ni babies babies @@##!!@@%%^^ hebu badilika mkuu wewe mtu mzima, acha ushamba na ulimbukeni wa kizamani.
 
Back
Top Bottom