Le mutuz kuoa binti mbich aliyezidi miaka 25

Status
Not open for further replies.
le mutuz needs to drop couple of pounds,eti naye ni celeb,..
nasikia alikuwa model wa fubu alipokuwa new york..hahahaha,big things you know,wabebs wananizimika.
 
Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm na familia yake aliyoishindwa america na mchumba wake totoz ya miaka 25.Ubarikiwe babu le mutuz
 

Attachments

  • CYMERA_20131229_020928.jpg
    CYMERA_20131229_020928.jpg
    137 KB · Views: 353
  • CYMERA_20131229_021217.jpg
    CYMERA_20131229_021217.jpg
    129 KB · Views: 368
  • IMG_191468940307918.jpeg
    IMG_191468940307918.jpeg
    58 KB · Views: 350
  • BEBE 2.jpg
    BEBE 2.jpg
    37.3 KB · Views: 296
Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm na familia yake aliyoishindwa america na mchumba wake totoz ya miaka 25.Ubarikiwe babu le mutuz

Hapa ni mahali pa fikra pevu juu ya siasa. Katika thread hii sioni siasa wala fikra zilizo pevu. Nimeshindwa hata kupata madhumuni ya mtanga. Jamani tunaanza mwaka 2014 ambapo ktk chaguzi za mitaa tunatakiwa kuonyesha tusivyoitaka ccm. Ili tufanikiwe muda ni sasa. Tuache ya mzaha tueneze mabadiliko. Ya mzaha waachie wao wameyazoea.
 
Katika picha ya mwanzo ni kimada wa lemutuz wa sasa na aliyewahi kuwa mke wake kabla ya kuachana baada ya kufumaniwa akibanjua amri ya sita na mwanaume mwenzake,ya chini kabisa ni kimada ea lemutuz,x wife wake na mtoto wao kigori cha miaka 14
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom