Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,004
- 168,576
naona le mutuz yuko na wanae
Kosa lake kushika chupa ya bia, kunyoa kipara, kutokufunga kifungo cha juu au kusmile kimagumashi?
Le mutuz ana historia ya kunywa sumu zaidi ya mara tatu kisa ni ugomvi wa mapenzi na hawa watoto wadogo wanamtangazia kuwa hawezi zile shuhuli zetu.
Jamani msimchokoze huyu asijekunywa sumu ana roho ndogo sana, ni muda sasa hajanywa sumu.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums