Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,396
Le king of social media!!le mukarezz,le mbebez wa ukweeel!le sexy sexy...nampendaje boss wangu mtarajiwa!
Hapo anacheza sebuleni kwa mama Ana Kilango?
Kwa Le mutuz, Nyani Ngabu huwa anaweka itikadi pembeni.....
Kweli huyu shati lake lazima lifunike starlet.
Hii kitimoto ime jamba ushuzi hadi huku ume tutawanya!!!!
Umejuaje ana miaka 56? Uliwahi kukiona cheti chake cha kuzaliwa? Uliwahi kuona pasi yake ya kusafiria? Uliwahi kuona kitambulisho chake chochote kile kinachoonyesha umri wake? Au unamjua nje ya hapa JF?
Na nani kamandaa?
Hapo anacheza sebuleni kwa mama Ana Kilango?
Wewe unafikiri kwanini jumuiya ya wazazi ya CCM walijichanganya kumchagua,si kutokana na umri wake Mkubwa.Yaani walifikiri anaweza kuwa na busara Kama mzazi.
Mama yake sio huyu jamani acheni unafiki !!
Hata kama mnamchukia mtu si vema kupakaza maneno ya uongo