Lazima watu wafe tu,mhe. Pinda wapigwe tu.

Lazima watu wafe tu,mhe. Pinda wapigwe tu.

Mh2

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
90
Reaction score
11
Jamani Natamani hata kwenda kijiji leo hii. MWANZA hakufai hata kidogo. Jamani sijawahi kuona tangu nizaliwe. Sijajua manake hawa sio mapolisi niwajuao ,wamevaa kama wanajeshi, nimepita mabati wanapiga gwalide,yani kesho ni Noma. Lazima mtu afe kwa namna yeyote ile. Hatari mi siwatishi ila mimi mwenyewe nimetishika, wako wengi mno,sijajua wametoka wapi wote hawa na kunamagari ninoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom