sam love
umeshaiposti hii kwa id yako nyingine ya mama la mama!kama sio
hivyo useme umeitoa wapi posti hii
Wanaume na nyie!!!!!
Kuwa tender nasoft kunategemea na circumstances. Wewe mtu umefanya mmbo ya hovyo afu kama bozongwa niendekeze tenderness? Thubutu!!!!!!!!!!!!!!!! Vita vikuu vya dunia mnavitakaga wenyewe.
Yaani urudi home, in high spirits, na kazawadi mkononi, hapo hapo unaniambia nioge fasta tuipoze koo na kuku choma, kwenye unywaji unaniambia how you love me, n staff na mpangowa kuninunulia jichenila dhahabu. Nikisemese vibaya NIMEROGWA? Thubutuuuuuuuuu!!!!!!!! Hapo inabakia ku cement hayo mawazo yako tu usije ghairi.
Yaani hata kama haikuwako kwenye plan, tukifika mlangoni tu nachojoa nguo zote, na kulianzisha game hapo hapo mlangoni. Nahakiisha yote ulionena unarudia kuyatamka just to make sure husahau kukikucha.
Ila umerudi home saa 7, unanuka pombe, hapo mimi koo lienikauka, mbuzi nina hamu nae, nimekula ndondo unagonga kwa fujo, simu text za small house zinagongana afu ujite kunigusa!!!!!!!!! Weeeeeeeeeeeee! NAKUSUNYA LIVE BILA CHENGA!
Hata Uwe Mwanamke mzuri kiasi,mwenye rangi ya
udongo wa fedha na kiuno kinachozuia upepo
usivume,na una hela na kazi nzuri sana,Kama una
KIBURI,LUGHA MBOVU,MAJIBU MABAYA....Hakuna
Mwanaume atakaa na wewe
Wakati mwingine mnaachwa mnajiuliza,'Amewezaje
kuniacha na mi ni mzuri hivi',Jifanyie Internal Scanning
kuhusu TONE yako unapoongea na Mwanaume,Mafaha
li wawili hawawezi kukaa zizi moja...Yaani wewe
Afande KIBESI,na Mmeo Koplo KIBESI,Huo sio
Uhusiano ila ni kikosi cha Askari wa Kiwango Security.
A woman should be tender..Soft-tonned..a
listener..Huwa mnazidiwa vitu vidogo tu,we unajifanya
kidume,wakati MCHEPUKO unaongelea puani hata
kama nimeukosea mimi
UNAHAMWA!
Wanaume na nyie!!!!!
Kuwa tender nasoft kunategemea na circumstances. Wewe mtu umefanya mmbo ya hovyo afu kama bozongwa niendekeze tenderness? Thubutu!!!!!!!!!!!!!!!! Vita vikuu vya dunia mnavitakaga wenyewe.
Yaani urudi home, in high spirits, na kazawadi mkononi, hapo hapo unaniambia nioge fasta tuipoze koo na kuku choma, kwenye unywaji unaniambia how you love me, n staff na mpangowa kuninunulia jichenila dhahabu. Nikisemese vibaya NIMEROGWA? Thubutuuuuuuuuu!!!!!!!! Hapo inabakia ku cement hayo mawazo yako tu usije ghairi.
Yaani hata kama haikuwako kwenye plan, tukifika mlangoni tu nachojoa nguo zote, na kulianzisha game hapo hapo mlangoni. Nahakiisha yote ulionena unarudia kuyatamka just to make sure husahau kukikucha.
Ila umerudi home saa 7, unanuka pombe, hapo mimi koo lienikauka, mbuzi nina hamu nae, nimekula ndondo unagonga kwa fujo, simu text za small house zinagongana afu ujite kunigusa!!!!!!!!! Weeeeeeeeeeeee! NAKUSUNYA LIVE BILA CHENGA!
sam love umeshaiposti hii kwa id yako nyingine ya mama la mama!kama sio hivyo useme umeitoa wapi posti hii
halafu zote matumizi ni kama yanafanana.
japo kule ana pozi ka mwanamke af huku anapozi kama kijana...
umeona eeeeeh hapa si bure kuna namna
sam love umeshaiposti hii kwa id yako nyingine ya mama la mama!kama sio hivyo useme umeitoa wapi posti hii
jamani hamjui kusoma hata picha ?? I am great thinker u know!! Haha! Post za namna hii wapendwa zinatoka huuukoooo facebuko ! Na ndio maana mnaona mtu anapoibamba huko anaimuvuzisha huku bila kujua mwingine kaileta mwisho wa siku zinabambana!! Kama nimekosea Fanyeni ka utafiti